naombeni ushauri

naombeni ushauri

dennis munishi

New Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
2
Reaction score
0
tcu wlinipanga st john ila kwenye list ya majina ya st john langu halipo.nikajaribu kuangalia chuo nlichochagua cha kwanza ifm nikakuta jiana langu .sasa niende huku ifm ambako jina langu lipo au nifanyeje?
 
Our Location

Tanzania Commission for Universities,
Meanmyke House,
Garden Road ,
P. O Box 6562,
Dar es Salaam.
Phone: +255 22 2772657
Fax: +255 22 2772891
email: es@tcu.go.tz
Website: www.tcu.go.tz
barabara ya rose garden shuka kituo kinaitwa sayansi kuna bajaji nyingi aeneo hayo uliza TCU ofisi ni barabara utaoneshwa hii naona ni approach nzuri kama uko dar wewe mwenye matatizo na tcu.
 
TCU OFFICE LOCATION.jpgTCU OFFICE LOCATION.jpg
 
Asa umejuaje that umepangwa st johns wakati jina lako halipo? na ni st john campus ipi? ya dar au dom?
 
yan nikichek profile yangu nimepangwa st john ya dar.ila kwenye list ya majina kule chuoni langu halipo,badala yake jina langu nalikuta ifm
 
Back
Top Bottom