Ww ni m£ au k£???Habari za wakati huu jamani, Ndugu zangu, nimechaguliwa teku-mbeya, chuo kimefungua jumatatu, wao wanataka 565000/= ndipo wanisajiri. Kila ndugu ninaye mwomba hela japo kidogo ananiambia hana kitu na anadai hali ni ngumu kwa sasa. Ndugu zangu, kwangu hii ni changamoto kubwa kwasababu sielewi napataje hiyo hela au nitapataje usajiri bila hela. Chuoni ( teku ) wanasema zikipita wiki mbili napigwa penati ya 50000/= Jamani naombeni mnisaidie mawazo au kwa namna yeyote ile niende chuo, namba yangu ni hii 0759 114 102.
Habari za wakati huu jamani, Ndugu zangu, nimechaguliwa teku-mbeya, chuo kimefungua jumatatu, wao wanataka 565000/= ndipo wanisajiri. Kila ndugu ninaye mwomba hela japo kidogo ananiambia hana kitu na anadai hali ni ngumu kwa sasa. Ndugu zangu, kwangu hii ni changamoto kubwa kwasababu sielewi napataje hiyo hela au nitapataje usajiri bila hela. Chuoni ( teku ) wanasema zikipita wiki mbili napigwa penati ya 50000/= Jamani naombeni mnisaidie mawazo au kwa namna yeyote ile niende chuo, namba yangu ni hii 0759 114 102.
Ww ni m£ au k£???
Kozi gan kka
subiri mpaka bodi ya mkopo watoe majina...ukipata lipa na io fine yao kwa kutumia boom ukikosa achana nao na uapply upya mwakani t.c.u na uieke education first priority , education ndo mkombozi wetu sisi maskini! Cheers usiwaze!
BAED mkuu
Usijali kaka mm nakushauri fanya hata ukope hiyo hela ya registration en am sure bodi watakupa mkopo kaka coz mn nimeona vijna wengi wa teku.mkopo wana pata na ukizingatia hiyo kozi yako ni priority so plz kopa kokote den uta replace kaka..... sisi tuna kuombea en hongera coz n wa chache wenye moyo kma wako kueleza hali halisi.....na kama sikisei pale ada ni 1.5M hangaika usajiliwe mengine yata fuata all da best