Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Hapo tayari kasoro kubwa, tafuta mwingine au muombe Mungu akupatie mke mwema. Hata kama mlipendana na huyo kwa mwaka mmoja, kwani itakuwa tatizo kutafuta mwingine?
 
piga chini huyo msabato, kwanza ni msabato masalia tu. Anajifanya ana dini wakati ameshatoa bikira kwako, sasa dini yake iko wapi? Mnafiki huyo, hao ndo mafarisayo wanaojifanya kwa nje wazuri kumbe ndani ni makabuli yaliyojaa mifupa....wasabato watakusumbua sana, ata infect hadi watoto wako..mimi watoto wangu hata wewezi kwenda kusoma shule hata ya secondari au primary ya wasabato kwasababu wakiwa infected na sheria zao za agano la kale, wanakuwa kama wameuza akili kwa bei chee. Achana nao...hao ni mafarisayo na masadukayo ambao hata sio wakristo..wasabato sio wakristo, sio wanafunzi wa yesu kristo, ni wanafunzi wa musa....so na wewe kama unataka umkane kristo ili uwe mwanafunzi wa musa..endelea kupoteza muda.

Pili, wewe pia ni mnafiki sana, nyie walutheran pia ni wanafiki na ndio maana asilimia sabini ya wanaofunga ndoa za kilutheran wanakuwa na mimba kwenye shela la ndoa...okokeni, mnaenda kanisani kufanya nini sana, ulutheran ni ticket yako ya kwenda mbinguni?...mbona dini yenu ya kinafiki sana...mimi nilizaliwa huko lutheran kwenye familia ya kichungaji..wachungaji wazinzi ni asilimia hamsini...maaskofu wenu wachawi ajabu..fungukeni macho jamani.
calm down man
 
Kaka isije ikawa wewe umependa kuliko yeye anavyokupenda,iweje mwanzo akubali,baadae abadili uamuzi? juu ya kumpenda sana huyo dada,jaribu na wewe kutingisha kibiriti kidogo uwe na msimamo uone yeye ataamua vipi.inaonyesha kwa kuwa unapenda,kila anachosema yeye,kwako wewe sawa.kwa kuwa umeshamtoa bikira,trust me labda ukae muda mfupi uoe,lakini huo mchezo atautaka tu
 
piga chini huyo msabato, kwanza ni msabato masalia tu. anajifanya ana dini wakati ameshatoa bikira kwako, sasa dini yake iko wapi? mnafiki huyo, hao ndo mafarisayo wanaojifanya kwa nje wazuri kumbe ndani ni makabuli yaliyojaa mifupa....wasabato watakusumbua sana, ata infect hadi watoto wako..mimi watoto wangu hata wewezi kwenda kusoma shule hata ya secondari au primary ya wasabato kwasababu wakiwa infected na sheria zao za agano la kale, wanakuwa kama wameuza akili kwa bei chee. achana nao...hao ni mafarisayo na masadukayo ambao hata sio wakristo..WASABATO SIO WAKRISTO, sio wanafunzi wa Yesu Kristo, ni wanafunzi wa Musa....so na wewe kama unataka umkane Kristo ili uwe mwanafunzi wa Musa..endelea kupoteza muda.

Yaani watu mkisha hamia kwa kina Kakobe and the alike huwa mna matusi sana dhidi ya dhehebu mulilokuwa mwanzo utafikiri huko mnakosali sasa ni mbinguni tayari.
 
piga chini huyo msabato, kwanza ni msabato masalia tu. anajifanya ana dini wakati ameshatoa bikira kwako, sasa dini yake iko wapi? mnafiki huyo, hao ndo mafarisayo wanaojifanya kwa nje wazuri kumbe ndani ni makabuli yaliyojaa mifupa....wasabato watakusumbua sana, ata infect hadi watoto wako..mimi watoto wangu hata wewezi kwenda kusoma shule hata ya secondari au primary ya wasabato kwasababu wakiwa infected na sheria zao za agano la kale, wanakuwa kama wameuza akili kwa bei chee. achana nao...hao ni mafarisayo na masadukayo ambao hata sio wakristo..WASABATO SIO WAKRISTO, sio wanafunzi wa Yesu Kristo, ni wanafunzi wa Musa....so na wewe kama unataka umkane Kristo ili uwe mwanafunzi wa Musa..endelea kupoteza muda.

Pili, wewe pia ni mnafiki sana, nyie walutheran pia ni wanafiki na ndio maana asilimia sabini ya wanaofunga ndoa za kilutheran wanakuwa na mimba kwenye shela la ndoa...okokeni, mnaenda kanisani kufanya nini sana, ulutheran ni ticket yako ya kwenda mbinguni?...mbona dini yenu ya kinafiki sana...mimi nilizaliwa huko lutheran kwenye familia ya kichungaji..wachungaji wazinzi ni asilimia hamsini...maaskofu wenu wachawi ajabu..fungukeni macho jamani.
Hongera kama huko uliko sasa uko sehemu sahii, ila angalia tu usije ukawa kule kwa wafanya biashara, lakini pia inawezekana ukawa ni malaya wa madhehebu.
 
Kwakuwa mapenzi nihisia, na kwa imani yangu mwanaume hata akijifanyisha lakini mwisho wa siku hurudi kwenye dini yake ya awali, mkubalie maana unaweza kumtosa ukaja kupata kimeo ambacho kitakugharimu tena.
Kubali kubadili kama unampenda, akisha kuwa wako mengine mtayajadili kama wanandoa.
 
piga chini huyo msabato, kwanza ni msabato masalia tu. anajifanya ana dini wakati ameshatoa bikira kwako, sasa dini yake iko wapi? mnafiki huyo, hao ndo mafarisayo wanaojifanya kwa nje wazuri kumbe ndani ni makabuli yaliyojaa mifupa....wasabato watakusumbua sana, ata infect hadi watoto wako..mimi watoto wangu hata wewezi kwenda kusoma shule hata ya secondari au primary ya wasabato kwasababu wakiwa infected na sheria zao za agano la kale, wanakuwa kama wameuza akili kwa bei chee. achana nao...hao ni mafarisayo na masadukayo ambao hata sio wakristo..WASABATO SIO WAKRISTO, sio wanafunzi wa Yesu Kristo, ni wanafunzi wa Musa....so na wewe kama unataka umkane Kristo ili uwe mwanafunzi wa Musa..endelea kupoteza muda.

Pili, wewe pia ni mnafiki sana, nyie walutheran pia ni wanafiki na ndio maana asilimia sabini ya wanaofunga ndoa za kilutheran wanakuwa na mimba kwenye shela la ndoa...okokeni, mnaenda kanisani kufanya nini sana, ulutheran ni ticket yako ya kwenda mbinguni?...mbona dini yenu ya kinafiki sana...mimi nilizaliwa huko lutheran kwenye familia ya kichungaji..wachungaji wazinzi ni asilimia hamsini...maaskofu wenu wachawi ajabu..fungukeni macho jamani.

hute mpenzi wasabato mafarisayo, walutheri wachawi na wazinzi haya we mwenze2 thehebu gani halina hayo uliyoyataja, ninachojua mimi kila dini na kila dhehebu lina yote hayo ni wewe 2 muumini utakavyopenda kuiendesha nafsi yako sidhani kama dini ni tatizo
 
piga chini huyo msabato, kwanza ni msabato masalia tu. anajifanya ana dini wakati ameshatoa bikira kwako, sasa dini yake iko wapi? mnafiki huyo, hao ndo mafarisayo wanaojifanya kwa nje wazuri kumbe ndani ni makabuli yaliyojaa mifupa....wasabato watakusumbua sana, ata infect hadi watoto wako..mimi watoto wangu hata wewezi kwenda kusoma shule hata ya secondari au primary ya wasabato kwasababu wakiwa infected na sheria zao za agano la kale, wanakuwa kama wameuza akili kwa bei chee. achana nao...hao ni mafarisayo na masadukayo ambao hata sio wakristo..WASABATO SIO WAKRISTO, sio wanafunzi wa Yesu Kristo, ni wanafunzi wa Musa....so na wewe kama unataka umkane Kristo ili uwe mwanafunzi wa Musa..endelea kupoteza muda.

Pili, wewe pia ni mnafiki sana, nyie walutheran pia ni wanafiki na ndio maana asilimia sabini ya wanaofunga ndoa za kilutheran wanakuwa na mimba kwenye shela la ndoa...okokeni, mnaenda kanisani kufanya nini sana, ulutheran ni ticket yako ya kwenda mbinguni?...mbona dini yenu ya kinafiki sana...mimi nilizaliwa huko lutheran kwenye familia ya kichungaji..wachungaji wazinzi ni asilimia hamsini...maaskofu wenu wachawi ajabu..fungukeni macho jamani.

Hute ww umeokoka? Mbona muongo na mzushi, Huna ushahidi wa hayo yote uliyo yasema. Kwa kauliyako UMEKULIA KWENYE FAMILIA YA KICHAWI, KIZINZI NA KINAFIKI, nadhani brain yako imeatirika na makuzi yako mrudie MUNGU, Muda bado unao acha unafiki, Uchawi na Uzinzi.
 
Kaka isije ikawa wewe umependa kuliko yeye anavyokupenda,iweje mwanzo akubali,baadae abadili uamuzi? juu ya kumpenda sana huyo dada,jaribu na wewe kutingisha kibiriti kidogo uwe na msimamo uone yeye ataamua vipi.inaonyesha kwa kuwa unapenda,kila anachosema yeye,kwako wewe sawa.kwa kuwa umeshamtoa bikira,trust me labda ukae muda mfupi uoe,lakini huo mchezo atautaka tu

may be..
 
Si vizuri kumfanya mtu anadilishe faith yake sababu yako.... this i selfish..... Sasa kama kutoelewana kumeshaanza kabla hamjaingia kwenye nyumba je mkishaingia na watoto kuanza kudai school fees, au pale mvutano wa watoto wafate faith ya nani??? kweli mtafika.
 
ndio maana nikaomba ushauri kwa wana jamvi mnijuze the right way nichukue..
 
unajua kwanini anakuzingua ni kwasababu hujamchakachua, jitahidi ushawishi akupe mwenyewe utaona

lakini ndugu yangu wewe ndugu yangu unaambiwa kuna bikira wakati hujapata game, kama changa la macho je?
rudia kusoma posts yake vizuri
 
ndio maana nikaomba ushauri kwa wana jamvi mnijuze the right way nichukue..

Hapa kwa kweli mwenye ushauri mzuri atakuwa ni wewe sababu unazo "all the facts" Je ni kweli anakupenda kiasi hicho?, Je ni kweli kwamba yupo tayari kubadilisha dini ila wazazi wake hawawezi wakamruhusu?, Je utapenda apingane na wazazi wake ili awe na wewe?, Je wewe upo radhi kubadilisha imani yako sababu yake?

Ukijibu majibu hapo juu nadhani utakuwa umepata ufumbuzi; After all you are all Christians... Unaweza ukawa unakwenda kwenye makanisa yote ili kuwaridhisha wazazi...
 
ndugu yangu penye upendo wa dhati hakuna mashart hivyo hivyo vigezo vyenu ni jibu kuwa hakuna penzi hapo kila mmoja ashike 50 zake
 
unajua kwanini anakuzingua ni kwasababu hujamchakachua, jitahidi ushawishi akupe mwenyewe utaona

lakini ndugu yangu wewe ndugu yangu unaambiwa kuna bikira wakati hujapata game, kama changa la macho je?

mkuu game ilishapigwa ila no kurudia tena mpaka ndoa, hakuna changa la macho
 
Una uhakika hakuweka ndimu/limau huyo?(No it is a joke!!!!!)
On a serious note: Huyo binti hakufai. Maana mnaanza kutofautian mkiwa uchumba. Ukishaoa utaipata fresh. Achana naye tafuta mwingine. Mapenzi ni relative. inategemea u mahali gani, iteraction radius yako ni kubwa kiasi gani? n.k. Usiwe kipofu fumbua macho anayekupenda hujakutana naye ndugu yangu. Kaza boot kijana songa mbele na Mungu atakuongoza utampata wa masharti nafuu na ambaye atakuwa msaada katika maisha yako badala ya kushughulika na masuala ya mismamo tena ya kiitikadi ya Dini au dhehebu. Huyo unayemtafuta ni mwenzi wa maisha si wa kuchakachua mara moja kisha ukaacha. Huyo ni mwenzi wa kufa na kuzikana. Fikiria hilo kwanza kabla ya kuamua. Ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom