Naombeni uzoefu kwenye biashara ya FUSO tandam

Naombeni uzoefu kwenye biashara ya FUSO tandam

daktarii

Member
Joined
Sep 14, 2020
Posts
41
Reaction score
57
Habari ndugu
Naombeni uzoefu kwa wenye uzoefu , nataka kufanya biashara ya FUSO tandam niwe nasafirisha mizigo ,
Kwenda Dodoma na Arusha na dar , iringa

Bei za safari zikoje
Je ni biashara inayolipa ?
Inachukua muda gan gari kurudisha mtaji ?
Mambo gan ya kuzingatia kwenye hii biashara ?
Je ni route ipi nzuri na yenye faida ?
Dereva analipwaje , na tanboi analipwaje kwa sasa
images.jpeg
 
All the best!! Kanyaga twende piga kazi kiongozi tuko nje y muda.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nakaa humu
Maana hiyo nayo ni moja ya ndoto zangu.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Apo kwanza funga gps au kua dereva au konda mwenyewe mwisho kabisa kama wewe umenunua hiyo chuma na huna mzigo wako binafsi basi kuanzia sasa marafikizako wawe madalali wa mizigo ya mikoani,maduka,madalali wa mazao hao ndio ndugu zako na marafiki zako njd na apo kama chuma ya mkopo kitakulamba
 
70% ya wamiliki fuso za mizigo hata semi trela wanabeba mizigo yao binafsi,tenda zenye mikataba, na 30% hutegemea mizigo ya kubahatisha ya wateja wasiojulikana wanatokea wapi saangap
 
Back
Top Bottom