Ungesema Tu hujui ungepata hasara gani?Lidaktarii,ungekaa na wenye kufanya hizo biashara nako pia ungepata uzoefu wao.
NB:Wakikupa mbinu zao nawe jiongeze.Utafutaji wa njuluku una mengi ambayo hauwezi kuambiwa hadi uingie ndani yake.
Inalipaje ndio swali!Inalipa