Point of No Return 19
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 203
- 472
Biashara ya chakula haijawahi kumtupa mtu...ina baraka sana.Kwa mtaji wa 3mil naweza kupiga business gani hapa Dar es salaam?
Hii 3M sijapewa na mtu. Ni Katika harakati zangu za kutafuta since 2022 hadi leo ndiyo niliweza kuweka Chochote ninachopata, mpaka imefika hiyo.
Mimi nilikua na mawazo ma 2
La kwanza biashara ya mazao.
Na la pili biashara ya miamala ya Simu.
Yaani nifanye moja wapo Kati ya hizo.
Biashara ya kinada saiv Risk sana watu wanakufa kimya kimya porininunua marobota ya mtumba nguo za kike za milioni 1.8 nenda vijijini kwenye minada na sehemu mbali mbali nguo isizidi 2000
Kinachowaua kitu gan dear ?Biashara ya kinada saiv Risk sana watu wanakufa kimya kimya porini