Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

Kuna rafiki yangu alinidhulumu ela zangu na kushirikiana na mchumba ambaye nilitaka kumuoa nilisema maneno machache tu juu Yao,walipata ajali mwendelezo na kupita wakati mgumu sana,na Bado wanaoitishwa kwenye moto huo huo ,
Wasamehe mkuu ili wapate ahueni ya ki-maisha.
 

Wonders shall never end
 
I used to be like this,dhambi ili shinda.

Jitahidi sana kuikwepa dhambi,jitahidi sana.MUNGU anakupenda.
 
Hilo ni pepo
 
Mjinga tu
 
[emoji38][emoji38]unaseti mitambo sio
 
Uongo
 
Ulozi....

Kwamba KENZY hakuwa na jambo positive la kumwambia hadi umtabirie ajali.!???

Hio ni hatua ya mwisho mtu hupitia kabla hujawa Mlozi kamili....

Think positive na uwaombee wengine mazuri,,,, ndio imani inafundisha hvo...
 
inawezekana kabisa ukawa na hizo nguvu. hebu nitabirie kiongozi, kwa nini madeni yanaongezeka badala ya kipato kuongezeka
 
Vipi ulifanikiwa kumpata Hellen wako?
 
Na ashindwe na nisipopata narudi kuharibu uzi wake akose watu kaeni mkao wa kula na kuliwa..[emoji1787][emoji1787]
Hujapata kweli wewee?. Halafu na wewe mleta uzi kwa nini uone adhabu zote duniani umechagua ajali tu.
 
Naamini hichi unachosema inawezekana sana tu.

Nilishawahi kumuona mtu atajikwaa kabla hajajikwaa na akajikwaa.
 
Na mimi je unaweza kuona lolote kuhusu mimi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…