MTALAAM WA MAJIKO
Senior Member
- Feb 6, 2015
- 137
- 78
Niko peke yangu ninakaa hapo dukani, nilipofungua nikaacha balance sikuweka hela yote pia nina sehemu nyingine inayoniingizia kipato kwahiyo nikaona hela kila uchwao vitu vinaisha nikiangalia manunuzi haitoshi ndo najiuliza kama matumizi sitoi humo hela inapotelea wapiHaiwezi kuisha tu..we sema Unailaga? yani uuze kitu ukiweke hapo alafu kiondoke tu chenyewe? Labda useme hilo duka mnaliuza wangapi maana haya maduka ya kuuzwa na mama,baba,watoto,kijana wa kazi Hizo ndio changamoto zake.
Ni kweli siandiki manake niko mwenyewe na matumizi mengine huwa sitoi humoLazima unachouza huwa huandiki
Hii biashara ni ngumu sana na inahitaji umakini wa hali ya juu, ukicheza kidogo tu una baki na mambao matupu.
Faida yake kwenye kila utakachouza huwa haizidi 200.
Epuka matumizi makubwa kuliko faida, pia ukichukua kitu dukani Fanya kama umenunua kwa kutafuta hela kwingine na kulipia. Pia usigawe vitu bure kwa marafiki. Mfano unga, vocha, soda nkHabari zenu wana Jf, mm nina duka la vitu mchanganyiko yaani rejareja lakini tatizo ni kuwa kila ninapouza vitu vinaisha tu lakini hela ya kununulia vitu vingine inakosekana kila nikijaribu kuongeza hela baada ya muda kidogo hela inaisha tena sasa huwa najiuliza inaenda wapi nikaona humu kuna wazoefu niombe ushauri ninakwama wapi naombeni ushauri wenu. nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana ndugu nitajaribu hivyo vitu.Mkuu kama.huna matumizi mabovu basi huenda kuna chuma ulete.
Tumia mkaa unapohifadhi hela au weka mfupa wa kitimoto.
Nb hakikisha kila siku unafunga ofisi unajua umeuza ngapi na ukitumia andika.Hiyo biashara ni nzuri ukiwa na nidhamu na ukawa eneo lenye mzunguko mzuri wa wateja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndugu.Epuka matumizi makubwa kuliko faida, pia ukichukua kitu dukani Fanya kama umenunua kwa kutafuta hela kwingine na kulipia. Pia usigawe vitu bure kwa marafiki. Mfano unga, vocha, soda nk
Pole sana kiongozi, biashara ya duka ni ngumu sana na ukiwa mzembe unafilisika mapema sana! Nina uzoefu na hiyo biashara maana mzee wangu tangu nazaliwa mpaka mwaka 2011 nimekulia kwenye hiyo biashara! Kwanza kama umeeka mtu kama mfanyakazi kuona faida ni ngumu, kama una familia na unatoa mahitaji ya home hapohapo dukani vitu kama unga, mchele na dawa ya meno basi faida hutaiona, ukizdsha kukopesha itakula kwako yani ni biashara ambayo inabd uwe makini watu lazima ufunge duka!Habari zenu wana Jf, mm nina duka la vitu mchanganyiko yaani rejareja lakini tatizo ni kuwa kila ninapouza vitu vinaisha tu lakini hela ya kununulia vitu vingine inakosekana kila nikijaribu kuongeza hela baada ya muda kidogo hela inaisha tena sasa huwa najiuliza inaenda wapi nikaona humu kuna wazoefu niombe ushauri ninakwama wapi naombeni ushauri wenu. nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu ni biashara ninayoipenda na sio kwamba kuna mtu ananiuzia hapana, nauza mm mwenyewe japo kuna mradi mwingine unaniingizia kipato lakini hili duka linataka niingize na hela ya mradi mwingine hapo ndo nachoka kabisaPole sana kiongozi, biashara ya duka ni ngumu sana na ukiwa mzembe unafilisika mapema sana! Nina uzoefu na hiyo biashara maana mzee wangu tangu nazaliwa mpaka mwaka 2011 nimekulia kwenye hiyo biashara! Kwanza kama umeeka mtu kama mfanyakazi kuona faida ni ngumu, kama una familia na unatoa mahitaji ya home hapohapo dukani vitu kama unga, mchele na dawa ya meno basi faida hutaiona, ukizdsha kukopesha itakula kwako yani ni biashara ambayo inabd uwe makini watu lazima ufunge duka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfupa wa kitimoto πππ mi pia nitaweka kama upo bongo huamini uchawi basi huendi mbinguni ππMkuu kama.huna matumizi mabovu basi huenda kuna chuma ulete.
Tumia mkaa unapohifadhi hela au weka mfupa wa kitimoto.
Nb hakikisha kila siku unafunga ofisi unajua umeuza ngapi na ukitumia andika.Hiyo biashara ni nzuri ukiwa na nidhamu na ukawa eneo lenye mzunguko mzuri wa wateja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaaaa huku kwetu n full black magicMfupa wa kitimoto [emoji23][emoji23][emoji23] mi pia nitaweka kama upo bongo huamini uchawi basi huendi mbinguni [emoji23][emoji23]
Wapi huko mkuu