MTALAAM WA MAJIKO
Senior Member
- Feb 6, 2015
- 137
- 78
Habari zenu wana Jf, mm nina duka la vitu mchanganyiko yaani rejareja lakini tatizo ni kuwa kila ninapouza vitu vinaisha tu lakini hela ya kununulia vitu vingine inakosekana kila nikijaribu kuongeza hela baada ya muda kidogo hela inaisha tena sasa huwa najiuliza inaenda wapi nikaona humu kuna wazoefu niombe ushauri ninakwama wapi naombeni ushauri wenu. nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app