I Israel Senior Member Joined Apr 9, 2012 Posts 171 Reaction score 39 May 12, 2021 #1 Habari wakuu.Mwenye ujuzi na hizi gari mazda demio katika ulaji wa mafuta,maintanance,spare zake na uimara wake tafadhali anijuze kabla ya kununua. Ahsanteni. Mazda Demio
Habari wakuu.Mwenye ujuzi na hizi gari mazda demio katika ulaji wa mafuta,maintanance,spare zake na uimara wake tafadhali anijuze kabla ya kununua. Ahsanteni. Mazda Demio
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 43,973 Reaction score 150,463 May 12, 2021 #2 Stanley Mitchell II
Torque vs HP JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,769 Reaction score 5,084 May 12, 2021 #3 Daah sikapendi tu aisee,kana sura mbaya. Samahani lkn mkuu.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 May 12, 2021 #4 Mwaka gani?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 May 12, 2021 #5 Mwenye ufahamu wa Mazda Demio Wamiliki wa Mazda demio club tubadilishane uzoefu
I Israel Senior Member Joined Apr 9, 2012 Posts 171 Reaction score 39 May 12, 2021 Thread starter #6 Mad Max said: Mwaka gani? Click to expand... 2005/7
I Israel Senior Member Joined Apr 9, 2012 Posts 171 Reaction score 39 May 12, 2021 Thread starter #7 Mad Max said: Mwenye ufahamu wa Mazda Demio Wamiliki wa Mazda demio club tubadilishane uzoefu Click to expand... Ahsante mkuu
Mad Max said: Mwenye ufahamu wa Mazda Demio Wamiliki wa Mazda demio club tubadilishane uzoefu Click to expand... Ahsante mkuu