Naombva kufahamishwa kuhusu gari aina ya Mazda demio

Naombva kufahamishwa kuhusu gari aina ya Mazda demio

Israel

Senior Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
171
Reaction score
39
Habari wakuu.Mwenye ujuzi na hizi gari mazda demio katika ulaji wa mafuta,maintanance,spare zake na uimara wake tafadhali anijuze kabla ya kununua.

Ahsanteni.

1620816727111.png

Mazda Demio
 
Back
Top Bottom