Hapo una haki ya kudai fidia kwa mmiliki wa gari lililosababisha hiyo ajali. Fungua kesi ya madhara (tort) mahakamani, hata hivyo hapa tz tuko nyuma sana kwa haya masuala.
Magari mengi hayakatiwi third party insurance, ambapo kampuni ya insurance au wakala huchangia kiasi kikubwa kumlipa mwadhiriwa