Mimi ni mhanga wa huu mfululizo wa ajali, nilikua naomba kujuzwa hatua za kufuata baada ya kupata ajali ili niweze kufidiwa mana nilijeruhiwa na nimepata ulemavu
Hapo una haki ya kudai fidia kwa mmiliki wa gari lililosababisha hiyo ajali. Fungua kesi ya madhara (tort) mahakamani, hata hivyo hapa tz tuko nyuma sana kwa haya masuala.
Magari mengi hayakatiwi third party insurance, ambapo kampuni ya insurance au wakala huchangia kiasi kikubwa kumlipa mwadhiriwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.