Naombwa ndoa kwa nguvu

hivi ina maana kwamba mwanamke akifikisha 30 yrs ndio kashazeeka hivyo? mana sielewi.
 
hivi ina maana kwamba mwanamke akifikisha 30 yrs ndio kashazeeka hivyo? mana sielewi.

Usipate shida dada. Inategemea mtu anayeongea amepitia njia gani hadi alipo sasa. Mfano, kama mtu amezaliwa kijijini tena enzi hizo; kuanza shule lazima mkono ushike sikio la upande wa pili (hapo ni kuanzia miaka 8-11). Anaanza msingi, aende O-level hadi kidato cha 6. Na endapo ataenda kozi ndefu kama udaktari atamaliza na miaka mingapi? Akishamaliza akaanza angalau kujikarabati, 30 itakuwa bado kweli? Naona tunajadili hili suala kijuu juu tu.

Pia sielewi, mtu aliyechelewa kuolewa au kuoa ni aliye na miakia mingapi (i.e cut off tunayongelea hapa ni ipi)?
 
Mhafidhina nilihisi tu ila kabla sijauliza,kwa bahati ukajibu. Shida ya hawa kina dada kutoka Kagera,maskini yamungu hawajui mambo ya TIGONI-umemuonea bure dada wa watu! Kama ulikuwa unapenda TIGONi si ungeulizia kina dada wa Tanga au Lindi. Mungu amjalie maana wewe ulikuwa unataka mambo ya ajabu kwa dada wa kihaya. Na hizo condomn si mpaka yeye atake, ukiziweka mle yeye akawa anajiingizia taratibu hapati mtoto kweli?
 
mbona sijawahi kusikia mwanamke anayesema dume fulani linamlazimisha kuolewa, u know serious nagging nataka kukuoa nataka kukuoa.... kwani ni sisi wanawake tu ndio tunajisukumizia kuolewa???
 
...ati? kwani ndoa ni sex pekee?

...kama alishazaa kabla?

mbona sijawahi kusikia mwanamke anayesema dume fulani linamlazimisha kuolewa, u know serious nagging nataka kukuoa nataka kukuoa.... kwani ni sisi wanawake tu ndio tunajisukumizia kuolewa???

....mweeee! aibu dume zima kulalama 'binti fulani hataki nimuoe!' ...ndio mwanzo wa kuulizwa "Una kasoro gani?!" ...wengi hatusemi, tunakufa na tai zetu shingoni!
 
...aaaaaaaaaarrrgghh, na sikukuu yote hii ya Karume Day unakosa muda kweli? 😀

dah, wanaume tunatia aibu kunyang'anya vijizawadi tulivyowazawadia kina mama enzi za mapenzi jamani duuuh! ...dume zima linadai mpaka chupi alizonunulia, aibu!!! 🙁
 
niko bize na mabizness na mauchumi.Mbona huingii jukwaa hili? Mapenzi hayajakuchosha tu maana ni longologo kwa kwenda mbele!
 
niko bize na mabizness na mauchumi.Mbona huingii jukwaa hili? Mapenzi hayajakuchosha tu maana ni longologo kwa kwenda mbele!

...leo na mood na thread ya siasa,... napita hapa kuchungulia mara moja moja...
 
...leo na mood na thread ya siasa,... napita hapa kuchungulia mara moja moja...

Ninamaaisha jukwaa la biashara na uchumi, thats where I am most of the time today.Hii ya mahusiano si sana hata mie nachungulia tu.
 
Wewe sema hamna penzi hapo,kama ungekuwa umefika hata huku kwenye jamii tusingekuona ,ungeshakwenda mwenyewe kutoa mahari.All the best.
 
jiulize: unampenda?

kama jibu lako ni: ndio

nenda naye mkapime

kama jibu lako ni: hapana

yeyusha kianina.... mwambie yeye si chaguo lako! kuwa mkweli!
 
Lakini wapi aliposema kuwa anataka kuolewa na wewe? Kukataa kukupa past history yake inawezekana ikawa ni ishara kuwa haumo katika dira yake. Usijikute unajibalaghua tu wakati mwenzako anazungumzia general frustrations. Cha muhimu, kama wewe hupendi washomile basi mtafutie mwenzako anaewapenda na mwenye nia ya kuoa. Wote watakuona wa maana!

Amandla.....
 
Duuu mkuuu mimi ninachosema kwamba mwanamke akishafikisha 30years na kuendelea usiangalie tena kama kaolewa.....hajaolewa.....anaishi vipi...........achana nae hana mpango tena maana huyo tutamuita bibi sio mwanamke tena na kwanza hata ukiwa nae unadhani utakuwa na raha gani??

Piga chini zama IFM chukuo watoto wazuri au kindergarten kama kawaida.........
 
mbona sijawahi kusikia mwanamke anayesema dume fulani linamlazimisha kuolewa, u know serious nagging nataka kukuoa nataka kukuoa.... kwani ni sisi wanawake tu ndio tunajisukumizia kuolewa???
mie shost nilishawahi kubembelezwa na dume kwamba anataka kunioa, na wengi wanawake wapo wanaobembelezwa kuolewa.
 
ndio maana mnaingia kwenye ndoa leo mnatoka kesho! kama akili yako ndivyo inavyoku2ma pole.
 
.......... Mh comment nyingine bwana! Eti at 30 ni bibi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…