Naombwa ndoa kwa nguvu

Naombwa ndoa kwa nguvu

Talking about age, mwanaume anatakiwa kuoa akiwa na umri gani ili wanawake nao wajue kuwa kama kapitiliza basi huyo ni babu na hafai?

Mwenzangu si ndio nashanga! Au hawazeeki hawa maana jibaba linagonga hadi 40s bado hajaona wa kumfaa!

Ninavyoelewa kijana akishafikisha 35 wazazi wanaanza kumtizama mara mbili mbili na hasa kama hawajawahi kumwona na kimwana basi ataanza kutafutiwa blind dates.
 
Yaani!
MJ1, Unajua huku Afrika ( Tanzania) kuna hiyo kitu ya kuwaangalia wanawake tu na jinsi wanavyochuja kufuatia umri mkubwa.Sababu kubwa zinazotelewa ni kuwa wanawake hao hawawezi kuzaa, wakizaa basi watoto wanakuwa na hitilafu.Laiti wangefanya utafiti kwa wanaume pia wangejishangaa!

Wenzetu nchi za magharibu wameshafanya tafiti na kugundua kuwa haijalishi kama ni mwanamke au mwanaume - wote umri ukienda sana ni tatizo.Najua kuna watakokasirika kusikia kuwa wanaume wanaopata watoto uzeeni hupelekea kuzaliwa watoto wenye upungufu ikiwa ni pamoja na watoto taahira- kwa maana zile sperm zao pamoja na kuwa huzalishwa muda wote, hupoteza ubora kadri umri unavyoenda.Vilevile wanaume wenye umri mkubwa 40 plus huzaa watoto wasio na akili sana! Kinyume chake, wanawake wenye umri mkubwa wakibahatika kuzaa basi watoto wao huwa na akili nyingi!
Msinichinje - ni matokeo ya utafiti na siyo maneno yangu.ladies watchout! MSIWAKUBALI WANAUME WAZEE MAANA MTAPATA MATATIZO KATIKA UZAO WENU KAMA IFUATAVYO:

1.Watoto taahira:

The report appears in the June 2003 issue of the Journal of Urology:
A new study by researchers at the Columbia Presbyterian Medical Center at NewYork-Presbyterian Hospital shows that the father's age also plays an important risk-determining role in the incidence of genetic abnormality - Down's syndrome.Increased paternal age may lead to an increased frequency of chromosome abnormalities in sperm, according to Dr Fisch

"Couples preparing for family planning need to be aware that advanced parental age may not only result in increasing difficulties with fertility for the parents, but also that children born to older fathers may have a higher risk of genetic abnormalities." "The rate of Down syndrome for both maternal and paternal age greater than 40 years is approximately 60 per 10,000 births, which is a six-fold increase compared with maternal and paternal ages less than 35 years of age. In this age group, the paternal contribution to Down syndrome was 50 percent. Men over age 40 were twice as likely to have a Down syndrome child than men less than 20 years old," notes Dr Fisch.

2. Watoto wenye IQ ndogo
Whilst men do not face the 'ticking clock', producing sperm throughout their lives, studies show that paternal age does cause some problems of its own.
The study of more than 33,000 children in the United States looked at the difference in intelligence test results in young children, with the offspring of older fathers performing slightly less well. Strangely, those with a more mature mother tended to have better results.The suggestion that the older father can mean a lower IQ for the child is only one of a growing list of potential difficulties.Evidence of a link between paternal age and autism, dyslexia or even schizophrenia has also recently been investigated

So ladies and Gents its good to know that in an ideal world it would be best to have a family before either partner reaches 35, so they say.
 
.

Mmezunguka weeeeeeee, mmerudi palepale, umri mkubwa ni soo; nashukuru sana kwa hilo
 
Umri mkubwa kuanzia miaka mingapi? Dada aliyetajwa kwenye hii issue hajafika 35. Kadri ya maelezo ya WoS, je huyo ni bibi? Mbona muuliza swali hajasema kama yeye si babu?
 
Thanx Sisy this is a big of help to all of us.
 
thanks mbu kwa usia ulionipa na najua maoni yangu kwenye yamekwaza wengi... ila uelewe unayosema mengi ni theory hujagusa practical experience; nalinganisha mwanamama wa 30 na jibaba la 40 halijaoa

chunguza uone, makazini, kwenye community na hata uchumba wa watu waliovuka "border" ya umri kaaazi kweli kweli

nahisi naumiza emotions lakini ukweli lazima upewe heshima yake

sijui maandiko matakatifu yanasemaje juu ya waliovuka border
 
Umri mkubwa kuanzia miaka mingapi? Dada aliyetajwa kwenye hii issue hajafika 35. Kadri ya maelezo ya WoS, je huyo ni bibi? Mbona muuliza swali hajasema kama yeye si babu?

kAMA UMEFUATILIA, MWANAMAMA AKIFIKA THIRTY INAANZA KUWA MANENO, KWANI INABIDI AKAMATE MIMBA UKIFANYA FASTA SANA ANAZAA NA THRITY ONE, USUBIRI KIDOGO UKANDAMIZE NAMBA MBILI TAHAMAKI 35 HIYO KWAHIYO HUWEZI KUVUKA ZAIDI YA HAPO.... THATS ONE LIMITATION

KWA MWANAUME AKISHAFIKA FORTY, ISSUES NI NYINGI... UWEZO WA KU-PERFORM UNAKUWA LESS THAN 50% PERCENT, KUMBUKA 20-28 AMBAPO MTU ANACHEZA NA TIMU HADI NNE KWA SIKU, NA UKIWA FORTY NI KAZI KUMUAMSHA ALIYELALA KUENDELEA NA KAZI, KI-PYSIOLOGIA KUNA MENGI INCLUDING DEFECTS KWA SPERMS ETC

FETUS YA WAKONGWE HAWA IN SOME CASES INKUWA SI BORA, CONGENITAL PROBLEMS ZINAKUWA MORE LIKELY NA HATA SHUGHULI YENYEWE INAKUWA YA MADILU SYSTEM--- YA NGAYONGAYO NGAYO, BASI HAKUNA BILEKU WALA ACADEMIA

MOREOVER, MIJITABIA INAKUWA MIGUMU KUBADILIKA
 
Wanajamii,

naombeni mawazo yenu kidogo...!

Nina demu tumefahamiana kama miezi mitatu hivi na huwa hatuonani mara kwa mara. Na kweli bado hatujafahamiana vizuri kabisa, ikiwa ni pamoja na kwamba bado hata "hatujaonja tunda" hata siku moja.

Hivi siku za karibuni ameanza kuniletea habari kwamba anataka kuolewa na kweli ameshikilia msimamo sana kwani kila ninapokutana nae habari ndio hio, anasema anataka kuolewa, anataka kuolewa.

Sasa mimi nashindwa kuelewa je? kuna usalama hapa au vipi? Kuna siku nilijaribu kumuuliza past story yake akaniambia asingependa kuizungumzia, laini pia simfahamu kwa undani kabisa na kila nikijaribu kumuuliza huwa ananijibu juu juu halafu mada inarudi pale pale, anataka kuolewa eti kwa sababu umri wake umeenda sana sasa manake kashatia kibindoni miaka 30 anaelekea mwaka wa 31 sasa.

Pia mimi binafsi ninawasiwasi na kabila analotoka manake ni kuleee kwa "akina Ishomire"

Wajemeni kuna usalama kweli

Ndoa ni 'complex'. Haina majibu rahisi. Huyo mwenzako anaweza kuwa 'genuine' na anaweza asiwe. Labda ni vizuri mjaribu kukutana mara kwa mara na kuweka mawazo yenu pamoja - mfano, je. mnataka muwe marafiki tu au kuoana siku moja? Unaweza ukawa umempa'impression' kuwa unampenda na hivyo na yeye kutaka ku'respond' kwa hiyo 'impression'.

Don't panic. Just talk with her, she could be genuine and you could be prejudging her. The language of love has so many expressions.
 
....jamani kuolewa ni dili sana wadada?

masa

STORI YAKO INAGUSA!ninavyowaelewa mimi wanawake,akishajithibitishia SECURITY akiwa na wewe(when i say security,naomba unielewe!THE WOMAN WOULD LIKE TO FEEL PROTECTED in each and every aspect!economically,socially and all that),ATAANZA KULAZIMISHA NDOA

the major problem with this thinking attitude of mind ni kwamba HUWAGA HAKUNA LOVE.this lady once amepata anachokihitaji,YOU WILL SEE HER TRUE COLOURS
 
stori yako inagusa!ninavyowaelewa mimi wanawake,akishajithibitishia security akiwa na wewe(when i say security,naomba unielewe!the woman would like to feel protected in each and every aspect!economically,socially and all that),ataanza kulazimisha ndoa

the major problem with this thinking attitude of mind ni kwamba huwaga hakuna love.this lady once amepata anachokihitaji,you will see her true colours

wanasema you will know the city....
 
STORI YAKO INAGUSA!ninavyowaelewa mimi wanawake,akishajithibitishia SECURITY akiwa na wewe(when i say security,naomba unielewe!THE WOMAN WOULD LIKE TO FEEL PROTECTED in each and every aspect!economically,socially and all that),ATAANZA KULAZIMISHA NDOA

the major problem with this thinking attitude of mind ni kwamba HUWAGA HAKUNA LOVE.this lady once amepata anachokihitaji,YOU WILL SEE HER TRUE COLOURS

Duh hii ni kweli kabisa
 
kAMA UMEFUATILIA, MWANAMAMA AKIFIKA THIRTY INAANZA KUWA MANENO, KWANI INABIDI AKAMATE MIMBA UKIFANYA FASTA SANA ANAZAA NA THRITY ONE, USUBIRI KIDOGO UKANDAMIZE NAMBA MBILI TAHAMAKI 35 HIYO KWAHIYO HUWEZI KUVUKA ZAIDI YA HAPO.... THATS ONE LIMITATION

KWA MWANAUME AKISHAFIKA FORTY, ISSUES NI NYINGI... UWEZO WA KU-PERFORM UNAKUWA LESS THAN 50% PERCENT, KUMBUKA 20-28 AMBAPO MTU ANACHEZA NA TIMU HADI NNE KWA SIKU, NA UKIWA FORTY NI KAZI KUMUAMSHA ALIYELALA KUENDELEA NA KAZI, KI-PYSIOLOGIA KUNA MENGI INCLUDING DEFECTS KWA SPERMS ETC

FETUS YA WAKONGWE HAWA IN SOME CASES INKUWA SI BORA, CONGENITAL PROBLEMS ZINAKUWA MORE LIKELY NA HATA SHUGHULI YENYEWE INAKUWA YA MADILU SYSTEM--- YA NGAYONGAYO NGAYO, BASI HAKUNA BILEKU WALA ACADEMIA

MOREOVER, MIJITABIA INAKUWA MIGUMU KUBADILIKA

....................... Ati? Kumbe!! Huh okay Byeeee!
 
Sasa wewe unayeshauri TIGONI huoni unakiuka maadili. What if isyour sisiter? Jaribu kuangalia otheside of the coin.

Ooooh!
 
Jamani nina wasiwasi na huyu anaesema anaombwa ndoa,yawezekana yeye ndo alimwambia dada wa watu kuwa anataka kumwoa akifikiri atapewa mzigo sasa alipoona huyo dada kashikilia msimamo wa kuolewa ndo anaanza kumsingizia kuwa anaombwa ndoa,na pia nina maswali kwa huyu kaka huyo dada anaomba ndoa kwa nani? maana hajatueleza hilo,kuna kila dalili kuwa huyu kaka alimtamkia dada wa wtu kuwa anataka kumwoa.kuwa wazi kaka eleza vizuri maana maelezo yako nikiyasoma naona kama yana utata fulani either umenyimwa mzigo or huyo dada amekushtukia wewe ni tapeli wa mapenzi.
 
AAhh bwana weh... si unajua kuna mawio na machweo ya jua?

Ah mie nashukuru maana umenifunua macho maana timu tatu nne kwa siku si shughuli ndogo ati. Sasa kwa staili hii huoni ni bora tukakimbilia kwa aged kwa kuwa nitatua sure kuwa hakuna timu pinzani nyingine au?
 
Ni wewe tu kama unatosheka na kuonja au kula kabisa!!! Binafsi napenda genereta ya kuwasha umeme nyumba nzima kwa masaa nane na si kajenereta kenye uwezo wa kuwsha balbu nne kwa saa tatu

ANYWAY ALL IN ALL MAMBO YA NDOA YANATEGEMEA WANAOPENDANA NA SI VINGINEVYO.... INGAWA UMRI PLAYS A VERY SIGNIFICANT ROLE IN MARRIAGE LIFE FOR EXAMPLE ISSUES OF ADVENTURE, ENEGRY, RISK FOR THE OOFSPRINGS, MATURITY, DISEASES AND SHELF LIFE OF A PERSON
 
Wanajamii,

nakushukuruni sana kwa maoni yenu kwani kuna baadhi yamenifungua macho sana na baadhi yamenichanganya kabisa. Ukweli ni kwamba mimi malengo yangu ni kujiendeleza kitaaluma kwasasa. Mwenzangu yeye anasema anataka kuolewa MWAKA HUU HUU lakini pia yeye kitaaluma yeye amefanikiwa sana. Yeye anasema pia kwamba muda wake mwingi ulikua shuleni lakini pia nikijumuisha maelezo yake anasema kwamba alikua na mahusiano lakini hayakuwa na mafanikio. Aidha, kwa upande mwingine ni kwamba huyu dada ni mambo safi pia. Kiniacho nipa wasiwasi ni kwamba anasema yeye anataka kuolewa na anataka iwe mwaka huu huu, ukweli ni kwamba mimi mwaka huu siwezi kumuoa. Hata hivyo moyo naona umemuangukia kweli lakini kinachonisibu ni hio spidi anayotaka na haraka aliyonayo, inanifanya niogope kweli kweli.

Licha ya hayo suala linalokuja kichwani je ni sawa kuoa mwanamke mwenye miaka 30? Lakini pia huyu dada kwangu ni mkubwa wa umri kidogo kwa miezi kadhaa na usheehe hivi...! Swali ni je ni sawia kujitosa hapa wandugu...?
 
Back
Top Bottom