Eee kunashida kwan mkuuEducation tena🙉
Hakuna mkuu😔Eee kunashida kwan mkuu
Amna tuambizatu ukweli mana, amna dawa tamuHakuna mkuu😔
Tunachelewa kutoboa mkuu,ila ukiweka malengo yako poa unawezaAmna tuambizatu ukweli mana, amna dawa tamu
Ngoja tukazeKaza msuli mdogo wangu.
Aaaha! Yan Ni tatizo la kiasi kidogo cha mshahala auTunachelewa kutoboa mkuu,ila ukiweka malengo yako poa unaweza
🙏🙏Utakufa masikini
Nimesema maoni ila sio ushauli kakaTayari umeshaingia kwenye ualimu unahitaji ushauri gani tena mkuu?
YeahAaaha! Yan Ni tatizo la kiasi kidogo cha mshahala au
Nikwel kabisaUkifuata sana maneno ya kila mtu kwenye haya maisha,unaweza ukajikuta hufanyi lolote lile la kimaendeleo,utaganda hapo hapo ulipo tu kama barafu vile,
All the Best.
Wewe umesoma international school of Tanganyika?maana haujui kutumia hAmna tuambizatu ukweli mana, amna dawa tamu
Acha na na hii courseJaman, kwanza nawasalimu kwa jina la mungu, na natumai ni wazima wa afya ila kama afya iko vibaya mungu akupe ahueni🙏
AcAchana
AcWakuu mim ni mwanachuo naesoma Bachelor of education in science (physics).
Naombeni maoni yenu kama wakubwa zangu wenye upeo mkubwa juu ya hii kozi yangu kama mnavojua changamoto za ajira, mishahara na mengineo.
Nakalibisha mjadala, naomba tuchangie maoni yoyote.
Mungu awape mchana mwema🙏🙏
Hapo kwenye kupospone, wakati nisha anza kusoma nsi inamanisha, kua niludi kozi hiyohiyoAcha na na hii course
Education world wide IPO underpaid,hata U.S.A compared na course zingine
Kama umefaulu vizuri form 6,postpone omba tena mwaka huu,field za Fishing,Agriculture,Biotechnology,forestry.......hizo field Zina a lot of scholarship,research works,grant funds na carrier development.
Hata ukiingia serikalini huwezi mfananisha mtu aliyopo TFS pale na mwalimu WA physics
Achana na ualimu,unaenda kua masikini