Unaacha masomo au unapostpone,kisha unaomba kozi yenye global impact,kama kilimo,uvuvi,forestry,animal science etc........achana na ualimu,95% ya walimu wapo underpaidHapo kwenye kupospone, wakati nisha anza kusoma nsi inamanisha, kua niludi kozi hiyohiyo
Tatiz halipo kweli mkuu, mana nisha sain mkopo na boomUnaacha masomo au unapostpone,kisha unaomba kozi yenye global impact,kama kilimo,uvuvi,forestry,animal science etc........achana na ualimu,95% ya walimu wapo underpaid
Ngoja tukubali uhalisia tuKwa kifupi kijana Usha yakoroga, yaan hata education wanapewa kipaumbele wenye masomo mawili. Sasa hio physics yako sijui itakusaidia Nini? Ni Bora ungesoma physics na chemia kwa upande wa education.
Yaani mkopo ambao haufiki hata milioni 10 kwa mwaka ndio uje ukutese maisha Yako yote?Tatiz halipo kweli mkuu, mana nisha sain mkopo na boom
Yaani mkopo ambao haufiki hata milioni 10 kwa mwaka ndio uje ukutese maisha Yako yote?
Ukiwa serious na maisha ukaenda kupiga global impact courses,conference Moja tu ukihudhuria unaweza lipwa hadi milioni 12,
Mfano mtu aliyepiga fisheries na aquaculture hapo UDSM ana 97% ya kutoboa kutoboa kulikl wewe,.......why?
Ualimu ni local course,watoto wa Korea na Japan,hawasomi SAWA na wa bongo,ila fisheries,agriculture,health system ni global worldwide..........narduia Tena mkuu achana na ualimu,ni kitu kimeua ndoto za vijana wengi sana hapa nchi
Je nikimaliza mfano hii degree naweza kusoma kozi nyingne na nikaruhusiwa?? Mara tu baada ya kuhitimu mfano nursing???Yaani mkopo ambao haufiki hata milioni 10 kwa mwaka ndio uje ukutese maisha Yako yote?
Ukiwa serious na maisha ukaenda kupiga global impact courses,conference Moja tu ukihudhuria unaweza lipwa hadi milioni 12,
Mfano mtu aliyepiga fisheries na aquaculture hapo UDSM ana 97% ya kutoboa kutoboa kulikl wewe,.......why?
Ualimu ni local course,watoto wa Korea na Japan,hawasomi SAWA na wa bongo,ila fisheries,agriculture,health system ni global worldwide..........narduia Tena mkuu achana na ualimu,ni kitu kimeua ndoto za vijana wengi sana hapa nchini
Kuna jamaa humu nae kasomea physics ila ndio hivyo nipo nae hapa kitaa nimempa boxer used awe anaingiza shilling mbili tatu.Jaman, kwanza nawasalimu kwa jina la mungu, na natumai ni wazima wa afya ila kama afya iko vibaya mungu akupe ahueni🙏
Wakuu mim ni mwanachuo naesoma Bachelor of education in science (physics).
Naombeni maoni yenu kama wakubwa zangu wenye upeo mkubwa juu ya hii kozi yangu kama mnavojua changamoto za ajira, mishahara na mengineo.
Nakalibisha mjadala, naomba tuchangie maoni yoyote.
Mungu awape mchana mwema🙏🙏
Utakuwa unasoma/kukesha prep kama wanafunzi wako hadi utakapozeeka.Jaman, kwanza nawasalimu kwa jina la mungu, na natumai ni wazima wa afya ila kama afya iko vibaya mungu akupe ahueni🙏
Wakuu mim ni mwanachuo naesoma Bachelor of education in science (physics).
Naombeni maoni yenu kama wakubwa zangu wenye upeo mkubwa juu ya hii kozi yangu kama mnavojua changamoto za ajira, mishahara na mengineo.
Nakalibisha mjadala, naomba tuchangie maoni yoyote.
Mungu awape mchana mwema🙏🙏
Unaweza soma degree hata 100,lakini je:-Je nikimaliza mfano hii degree naweza kusoma kozi nyingne na nikaruhusiwa?? Mara tu baada ya kuhitimu mfano nursing???
Hatuchelewi but tunataka kukaa kwenye majiji makubwa yenye ushindani kiwanja mil.10 na kuendelea!badala ya kwenda wilaya za kati ili upate space ya kujipambanua!!Tunachelewa kutoboa mkuu,ila ukiweka malengo yako poa unaweza
Nimekuelewa kakaPhysics mochongo ni mingi mtaaani vha msingi uwe tayari kuji ivest mfano unafungua tuition center mjini au unaeza fnaya private tutoring maana wali ws physics wachache sana
Usisikilize watu wanaosema ajira hamna . Wakati fursa ni nyingi sanaNimekuelewa kaka
Upo mwaka wa ngspi?Jaman, kwanza nawasalimu kwa jina la mungu, na natumai ni wazima wa afya ila kama afya iko vibaya mungu akupe ahueni🙏
Wakuu mim ni mwanachuo naesoma Bachelor of education in science (physics).
Naombeni maoni yenu kama wakubwa zangu wenye upeo mkubwa juu ya hii kozi yangu kama mnavojua changamoto za ajira, mishahara na mengineo.
Nakalibisha mjadala, naomba tuchangie maoni yoyote.
Mungu awape mchana mwema🙏🙏
Naona hajakujibu. Physics inakuwezesha kusoma post graduate kozi zote za. IT na engineering(udsm na Udom) sina hakika kuhusu mambo ya fedha unaweza kuta napo fursa ipo. Post graduate huwa mwaka 1 tu unakuwa engineer. Kwa hio wasikukatishe tamaa.Je nikimaliza mfano hii degree naweza kusoma kozi nyingne na nikaruhusiwa?? Mara tu baada ya kuhitimu mfano nursing???