Naona ACT Wazalendo kuiondoa CCM Madarakani 2025

Lee Swagger

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
1,063
Reaction score
1,815
Huu ndio Ukweli Mchungu. Japo Mimi ni Mfuasi Wa Chama Kingine Kikubwa tu.

Kwa Mwenendo Unapoelekea Chama Tawala ni Dhahiri ACT itashinda Kwa Kishindo Majimbo 2025.

Muda ndio utasema. Kama Sio Uraisi Basi Wabunge Watakua Wengi Sana.

Tukutane hapa baaada ya Uchaguzi 2025.
 
..Uwezekano huo upo Zanzibar.

..Hussein Mwinyi hakubaliki Zanzibar.
Aisee hii chai ni balaa sana,chai ya jioni mzee.

Hussein mwinyi ni mtu ambae huwezi kumsema vibaya zanzibar,watasema tu kwamba Ccm wabaya ila ikija kwa mwinyi kila mtu atakuambia kwamba jjamaa ni mstaarabu na mtendaji.

Acheni kudanganyana mimi siandiki siasa naandika uhalisia
 
WATU WANAANDIKAGA USHABIKI TU MWINYI WATU WANA MKUBALI SANA TU
 
Aisee hii chai ni balaa sana,chai ya jioni mzee.

Hussein mwinyi ni mtu ambae huwezi kumsema vibaya zanzibar,watasema tu kwamba Ccm wabaya ila ikija kwa mwinyi kila mtu atakuambia kwamba jjamaa ni mstaarabu na mtendaji.

Acheni kudanganyana mimi siandiki siasa naandika uhalisia

..Zanzibar wanapigia kura CHAMA hawapigii kura mtu / mgombea.

..Ustaarabu wa Hussein Mwinyi utaujua wakati kuna tishio la CCM kushindwa uchaguzi.

..Je, wakati huo hataita askari toka Tanganyika kwenda Zanzibar kumsaidia kukandamiza Wazanzibari wenzake?
 
Huu ndio Ukweli Mchungu. Japo Mimi ni Mfuasi Wa Chama Kingine Kikubwa tu.

Kwa Mwenendo Unapoelekea Chama Tawala ni Dhahiri ACT itashinda Kwa Kishindo Majimbo 2025.

Muda ndio utasema

Tukutane hapa baaada ya Uchaguzi 2025.
Wapuuzi nyie, Ngorogoro mliishia kura 120 kama za Mwenyekiti wa mtaa, endeleeni kutumika na CCM
 
..Zanzibar wanapigia kura CHAMA hawapigii kura mtu / mgombea.

..Ustaarabu wa Hussein Mwinyi utaujua wakati kuna tishio la CCM kushindwa uchaguzi.

..Je, wakati huo hataita askari toka Tanganyika kwenda Zanzibar kumsaidia kukandamiza Wazanzibari wenzake?
Hayo ni mambo ya kila siku mzee.

Hao ACT wenyewe walikubali kuingia kwenye tawala hiyo hiyo wanayoinanga kwa maana tawala ipo pale kihalali
 
..Serikali ya Umoja wa Kitaifa wanaliana TIMING tu, kila mtu na kwake.

..ACT wameingia kule kimkakati ili Kiongozi wao alindwe kikatiba na serikali. Vilevile aweze kupita huku na kule akiimarisha chama chake.

..CCM nao wamekubali kuwe na serikali ya umoja wa kitaifa ili kupunguza joto la kisiasa na lawama kuwa watawala peke yao.

..UCHAGUZI MKUU ukifika kila chama kitakuwa upande wake na hapo ndipo rangi halisi za kila upande zinapojidhihirisha.

..Swala la msingi ni kama Uchaguzi utakuwa huru na wa haki. Kama hautaingiliwa na vyombo toka Tanganyika. Kwamba hakuna Waznz watakaopoteza maisha, au kupata ulemavu, kwasababu ya uchaguzi.
 
ACT wameachiwa gap na CHADEMA wameshindwa kulitumia. Wewe unapataje kura 120 dhidi ya kura 60,000,000 Ngorongoro. ACT wamefeli pakubwa. Wenyewe wajizatiti Zanzibar kwa Bara wameshindwa. Nadhani strategy anayoitumia Zitto ni kujenga urafiki na serikali ili 2025 aachiwe majimbo na CCM na CHADEMA wanyanganywe.
 
Kumbe wapiga kura wa ngorongoro ni wengi kuliko watanzania wote
 
Aisee hii chai ni balaa sana,chai ya jioni mzee.

Hussein mwinyi ni mtu ambae huwezi kumsema vibaya zanzibar,watasema tu kwamba Ccm wabaya ila ikija kwa mwinyi kila mtu atakuambia kwamba jjamaa ni mstaarabu na mtendaji.

Acheni kudanganyana mimi siandiki siasa naandika uhalisia

tatizo sio Hussen Mwinyi tatizo ni CCM, watu wameichoka CCM.
 
Back
Top Bottom