Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,063
- 1,815
Yaani mtoto amuondoe baba yake?Huu ndio Ukweli Mchungu. Japo Mimi ni Mfuasi Wa Chama Kingine Kikubwa Tu.
Kwa Mwenendo Unapoelekea Chama Tawala ni Dhahiri ACT itashinda Kwa Kishindo Majimbo 2025.
Muda Ndio Utasema
Tukutane Hapa Baaada Ya Uchaguzi 2025.
Aisee hii chai ni balaa sana,chai ya jioni mzee...Uwezekano huo upo Zanzibar.
..Hussein Mwinyi hakubaliki Zanzibar.
WATU WANAANDIKAGA USHABIKI TU MWINYI WATU WANA MKUBALI SANA TUAisee hii chai ni balaa sana,chai ya jioni mzee.
Hussein mwinyi ni mtu ambae huwezi kumsema vibaya zanzibar,watasema tu kwamba Ccm wabaya ila ikija kwa mwinyi kila mtu atakuambia kwamba jjamaa ni mstaarabu na mtendaji.
Acheni kudanganyana mimi siandiki siasa naandika uhalisia
Aisee hii chai ni balaa sana,chai ya jioni mzee.

Wapuuzi nyie, Ngorogoro mliishia kura 120 kama za Mwenyekiti wa mtaa, endeleeni kutumika na CCMHuu ndio Ukweli Mchungu. Japo Mimi ni Mfuasi Wa Chama Kingine Kikubwa tu.
Kwa Mwenendo Unapoelekea Chama Tawala ni Dhahiri ACT itashinda Kwa Kishindo Majimbo 2025.
Muda ndio utasema
Tukutane hapa baaada ya Uchaguzi 2025.
Hayo ni mambo ya kila siku mzee...Zanzibar wanapigia kura CHAMA hawapigii kura mtu / mgombea.
..Ustaarabu wa Hussein Mwinyi utaujua wakati kuna tishio la CCM kushindwa uchaguzi.
..Je, wakati huo hataita askari toka Tanganyika kwenda Zanzibar kumsaidia kukandamiza Wazanzibari wenzake?
ACT mnachoweza ni kutumika na ccmHuu ndio Ukweli Mchungu. Japo Mimi ni Mfuasi Wa Chama Kingine Kikubwa tu.
Kwa Mwenendo Unapoelekea Chama Tawala ni Dhahiri ACT itashinda Kwa Kishindo Majimbo 2025.
Muda ndio utasema
Tukutane hapa baaada ya Uchaguzi 2025.
Hayo ni mambo ya kila siku mzee.
Hao ACT wenyewe walikubali kuingia kwenye tawala hiyo hiyo wanayoinanga kwa maana tawala ipo pale kihalali
Huu ndio Ukweli Mchungu. Japo Mimi ni Mfuasi Wa Chama Kingine Kikubwa tu.
Kwa Mwenendo Unapoelekea Chama Tawala ni Dhahiri ACT itashinda Kwa Kishindo Majimbo 2025.
Muda ndio utasema
Tukutane hapa baaada ya Uchaguzi 2025.
..Uwezekano huo upo Zanzibar.
..Hussein Mwinyi hakubaliki Zanzibar.
Hao ni watoto wa mbogamboga. Hatudanganyiki NYAMBAFHuu ndio Ukweli Mchungu. Japo Mimi ni Mfuasi Wa Chama Kingine Kikubwa tu.
Kwa Mwenendo Unapoelekea Chama Tawala ni Dhahiri ACT itashinda Kwa Kishindo Majimbo 2025.
Muda ndio utasema
Tukutane hapa baaada ya Uchaguzi 2025.
Kumbe wapiga kura wa ngorongoro ni wengi kuliko watanzania woteACT wameachiwa gap na CHADEMA wameshindwa kulitumia. Wewe unapataje kura 120 dhidi ya kura 60,000,000 Ngorongoro. ACT wamefeli pakubwa. Wenyewe wajizatiti Zanzibar kwa Bara wameshindwa. Nadhani strategy anayoitumia Zitto ni kujenga urafiki na serikali ili 2025 aachiwe majimbo na CCM na CHADEMA wanyanganywe.