Haha unaongelea ya kutolea ! sasa hivi situmi kabisa, nakushawishi mpaka tukubaliane uje...si unajua tena makato...ukija tu ndio mtego wenyewe hauchomoki🤣We nitumie bila ya kutolea, ghetto siji
Kwani bunge la bajeti linakaa lini? Kwa lugha rahisi hata kama angekuwepo hili swala lingeenda bungeni na mbaya zaidi alikua hashauriki.Mbona haukupitishwa na kuanza kutumika wakati wake?
Waliouratibu waliogopa Nini Hadi kipindi hicho?
Je, mama amepangua mangapi ya Magufuli , Hadi hili limshinde??
Jiulize...
Kama nimekuomba elfu 50. Toa makato tako na utume inayobakiHaha unaongelea ya kutolea ! sasa hivi situmi kabisa, nakushawishi mpaka tukubaliane uje...si unajua tena makato...ukija tu ndio mtego wenyewe hauchomoki🤣
Ukiomba elfu 50 nakupa hiyo hiyo 50 hayo makato tusiwanufaishe wanasiasa, tena nimeagiza msosi wa kutosha 🍗🍔🍕 wewe njoo tu, utapata yote na zaidi !Kama nimekuomba elfu 50. Toa makato tako na utume inayobaki
Ni sawa ukituma bila ya kutolea tutazoeaUkiomba elfu 50 nakupa hiyo hiyo 50 hayo makato tusiwanufaishe wanasiasa, tena nimeagiza msosi wa kutosha 🍗🍔🍕 wewe njoo tu, utapata yote na zaidi ! View attachment 1859855
Eeh kutuma bila ya kutolea bado serikali itakata tozo...halafu bado utapata hela pungufu sina nia ya kukuzoesha shida, wewe njoo tu , utarudi hata na uber..gharama zote juu yangu tuachane na hizi tozo za dhuluma🤸🤣Ni sawa ukituma bila ya kutolea tutazoea
hivi nyinyi watu mna matatizo yapi kichwani!!!Huu mchakato umeanzia kwake acha kusifia ubwege