GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 23, 2023 #1 Na tukizinywa hizo tutakuwa na Hasira hasa katika Maongezi na Majibu yetu huku tukizidi Kukaza Macho na Kurembua kwa sana. Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Na tukizinywa hizo tutakuwa na Hasira hasa katika Maongezi na Majibu yetu huku tukizidi Kukaza Macho na Kurembua kwa sana. Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Aug 23, 2023 #2 Kuna watu wamepata kichefuchefu kwa hilo tamko. TEC wamejua timing