Naona bunge laanza kujitambua sasa

Naona bunge laanza kujitambua sasa

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Swalama wandugu
Leo report ya CAG imejadiliwa na kufanyika maazimio na kuna haja ya adhabu ya kunyonga wezi wa pesa za umma narudia tena KUNYONGA inasikitisha sana MTU anaiba sehemu A anahamishwa sehemu B tukishindwa kuwanyonga turudishe AZIMIO LA ARUSHA.
 
Bro si Kwa Tanzania labda angekuwepo Babulai #Magufuli hapa ukipata nafasi we Piga uokoe Nafsi yako nchi imeoza Sana Hii.
 
Haya baada ya kujadili ,wamefikia conclusion Gani?did they even Tie a name kwenye huo uchafu wanaousema? bullsh*t
 
Bro si Kwa Tanzania labda angekuwepo Babulai #Magufuli hapa ukipata nafasi we Piga uokoe Nafsi yako nchi imeoza Sana Hii.
Hii ni ripoti ya awamu ya Magufuli na ripoti zote zilikuwa na wizi uliwahi kuona hata Bunge linajadili achilia mbali hatua kuchukuliwa?

Hakuna awamu ilijaa majizi kama awamu ya 5 na hakuna aliyechukuliwa hatua ila ukiibua uozo unauawawa au kuzimwa 👇
 
Attachments

  • 20221104_121555.jpg
    20221104_121555.jpg
    154.3 KB · Views: 2
Swalama wandugu
Leo report ya CAG imejadiliwa na kufanyika maazimio na kuna haja ya adhabu ya kunyonga wezi wa pesa za umma narudia tena KUNYONGA inasikitisha sana MTU anaiba sehemu A anahamishwa sehemu B tukishindwa kuwanyonga turudishe AZIMIO LA ARUSHA.
Bunge lipi? La huyo Betina? Hakuna kitu hapo
 
Tanzania hakunaga bunge tunapoteza fedha nyingi kuwalipa wabunge na hatuna faida yoyote.fedha zinapigwa wabunge wanapiga kelele tu hakuna hatua yoyote itachukuliwa.
 
Hilo bunge futuhi litafanya nini? Wanadhani wakifanya drama ndio watatuvutia kutazama hilo bunge kibogoyo?
 
Hii ni ripoti ya awamu ya Magufuli na ripoti zote zilikuwa na wizi uliwahi kuona hata Bunge linajadili achilia mbali hatua kuchukuliwa?

Hakuna awamu ilijaa majizi kama awamu ya 5 na hakuna aliyechukuliwa hatua ila ukiibua uozo unauawawa au kuzimwa [emoji116]
Empty head!
 
Attachments

  • 2952362_Q0f.jpg
    2952362_Q0f.jpg
    77.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20221105-124332.png
    Screenshot_20221105-124332.png
    96.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220719-125637.png
    Screenshot_20220719-125637.png
    175.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220719-125655.png
    Screenshot_20220719-125655.png
    49.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220415-072852.jpg
    Screenshot_20220415-072852.jpg
    158.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220520-171316.jpg
    Screenshot_20220520-171316.jpg
    154.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom