Naona bunge laanza kujitambua sasa

Hakuna kitu, akitoa Samia aksema SHUT UP AND SHUT UP FOREVER, kun atakaye funua domo kubwabwaja?
 
Bunge? Bunge au kikao Cha CCM?
Ni Bunge, of course ni Kikao cha Wabunge. Wabunge ni wawakilishi wa wananchi kutoka sehemu mbali mbali hupigiqa kura kwenye majimbo yao. Mbunge Mkuu ni Rais, yeye Jimbo lake ni Tanzania yote. Zoezi hili hufanyika kila miaka 5 kwa kupambanisha Ilani. Safari ya mwisho Mbunge Mkuu wa CCM alipata kura 87% huku Mbunge Mkuu wa CUF zittokabwemembe akizoa 2%. Mbunge Mkuu wa CHADEMA tundulissu 13%. Kwa hiyo ni kikao cha CCM 87% na CUF 0.2% na CHADEMA 12.8%.
 
Walamba asali Huwa hawanyongani

Ukiona wamechachamaa ujue kuna maelekezo wanayafuata kuhusu jambo FULANI!

Kama kuna mtu wanataka awajibishwe ndio wanapambana Hivyo!

Ngoja tusubiri!!
 
Sheria ya kunyongwa ni moja utekelezaji wa sheria ya kunyongwa ni mbili.

Tanzania sheria ya kunyongwa ipo ila utekelezaji wa hiyo sheria hakuna hivyo mtu anaweza kufungwa kitungo cha maisha jela tu
 
January Mwanangu……….nakuagiza tena.
 
Usilete utani na takwimu za kupika. Anza na Majaliwa kupita bila kupingwa, Makamba, Nape...na orodha nyingine asilimia 85% kupita bila kupingwa ndo ujue dhamira ilikuwa Nini..jibu: "bunge la chama kimoja". Ndilo lililopo Sasa, sawa na kikao Cha CCM tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…