Naona clouds mmepoteza mashabiki

Ruyama

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
367
Reaction score
563
Muda huu clouds TV wana onesha supa nyota fiesta mubashara,pamoja na promo ya Instagram watu ni wachache mnoo ukilinganisha na ukubwa wa hii media.
 
Daah nimegundua kweli himaya huja n kupita , kuna kipind nilikuwa napenda Sana kusikiliza power breakfast , akiwepo PJ, hando na Babra, nikitoka hapo naskiliza jahaz chini ya fundi Kibonde, baada ya hapo naskiliza amplifaya, namalizia na sportextra kulikuwa na mafundi hasa, Ila mparanganyiko uliotokea sina hamu hata ya kusikiliza kipind chochote clouds , Powerbreakfast hakuna kitu , jahazi nacho kishazama, sportextra ndo kabisa hakuna mafundi tena.....

Ukija upande wa mziki ukabila na ukanda umejaa, wasanii wanaopewa airtime wengi wa kaskazin hasa Arusha..duuh ngoja tuone
 
Leo naona Joh Makini alikuwa miongoni mwa majaji
 
Pamoja na kusema hakuna kiingilio,hebu ona Efm show za bure zilivyo na muitikio chanya
Supa nyota tangia iazee umeshawahi kufatilia au unaongea tu .. tangia supa nyota ianzee watazamaji niwachachee tuu .. .
 
Kutoka Fiesta mpaka...
Mkesha wa Uhuru.
Hakika jamaaa wa MAWINGU wameishiwa mbinu, Wanatumia siku ya Uhuru kama Phishing promo ya Tamasha lao la Fiesta, bahati yenu Wizara husika iko Usingizini mngelipia hizi kiki za kutumia Uhuru kama chambo ya kujaza Uwanja wa tamasha lenu.
Mmeshindwa nini kutengeneza Swagga ya kijanja mpaka mnaitisha mkesha wa Uhuru
 
Mimi ilikuwa Ruge akiongea lazima niangalie Youtube. Siku hizi hata youtube Clouds media wala siigoogle. Ila wasafi tv lazima nigoogle kuangalia video za sport arena na sport court.
 
Kaka umeanza vizuri sana ila umekuja kuharibu kwenye paragraph ya mwisho; Alikiba, Harmonize , Mario, Ruby n.k hawa wanatokea Kaskazini [Arusha]???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…