Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo naona Joh Makini alikuwa miongoni mwa majajiDaah nimegundua kweli himaya huja n kupita , kuna kipind nilikuwa napenda Sana kusikiliza power breakfast , akiwepo PJ, hando na Babra, nikitoka hapo naskiliza jahaz chini ya fundi Kibonde, baada ya hapo naskiliza amplifaya, namalizia na sportextra kulikuwa na mafundi hasa, Ila mparanganyiko uliotokea sina hamu hata ya kusikiliza kipind chochote clouds , Powerbreakfast hakuna kitu , jahazi nacho kishazama, sportextra ndo kabisa hakuna mafundi tena.....
Ukija upande wa mziki ukabila na ukanda umejaa, wasanii wanaopewa airtime wengi wa kaskazin hasa Arusha..duuh ngoja tuone
Mimi ilikuwa Ruge akiongea lazima niangalie Youtube. Siku hizi hata youtube Clouds media wala siigoogle. Ila wasafi tv lazima nigoogle kuangalia video za sport arena na sport court.Daah nimegundua kweli himaya huja n kupita , kuna kipind nilikuwa napenda Sana kusikiliza power breakfast , akiwepo PJ, hando na Babra, nikitoka hapo naskiliza jahaz chini ya fundi Kibonde, baada ya hapo naskiliza amplifaya, namalizia na sportextra kulikuwa na mafundi hasa, Ila mparanganyiko uliotokea sina hamu hata ya kusikiliza kipind chochote clouds , Powerbreakfast hakuna kitu , jahazi nacho kishazama, sportextra ndo kabisa hakuna mafundi tena.....
Ukija upande wa mziki ukabila na ukanda umejaa, wasanii wanaopewa airtime wengi wa kaskazin hasa Arusha..duuh ngoja tuone
Na bado anguko lao linakujaKitu ambacho kinawaangusha hii media ni kuwa na mabifu yakijinga na wasanii na kupenda kuabudiwa.
Na bado anguko lao linakuja
Anguko ambalo hawatasimama tena
Ni suala la muda tu
Daah nimegundua kweli himaya huja n kupita , kuna kipind nilikuwa napenda Sana kusikiliza power breakfast , akiwepo PJ, hando na Babra, nikitoka hapo naskiliza jahaz chini ya fundi Kibonde, baada ya hapo naskiliza amplifaya, namalizia na sportextra kulikuwa na mafundi hasa, Ila mparanganyiko uliotokea sina hamu hata ya kusikiliza kipind chochote clouds , Powerbreakfast hakuna kitu , jahazi nacho kishazama, sportextra ndo kabisa hakuna mafundi tena.....
Ukija upande wa mziki ukabila na ukanda umejaa, wasanii wanaopewa airtime wengi wa kaskazin hasa Arusha..duuh ngoja tuone