A
Anonymous
Guest
Kuna taasisi inaitwa Information Systems Audit and Control Association ISACA Audit Association wanaendesha mafunzo ya CISA (Certified Information System Auditor).
Sijajua kwa wengine lakini taarifa nilionayo kwa sasa mafunzo yamesitishwa kutokana na hali mgogoro baina ya trustees.. ilikuwa tuanza mafunzo mwezi huu August 2026.
Kwa hapa Nchini anuani yao > ISACA Tanzania Chapter
Address: Msasani Tower, 2nd Floor, Kimweri Road, Msasani, P.O. Box 19749, Dar es Salaam, Tanzania;
Makao makuu yake yapo Marekani.
Hapa Nchini imesajiliwa chini ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni na haiko chini ya Wizara yoyote ya kiSekta.
Kwa sasa naona wamekabiliwa na changamoto iliyopelekea kunifanyia utapeli, sababu ni hizi;
1. Masomo yamesitishwa bila taarifa maalum
2. Wamegoka kabisa kurudisha gharama za ada nilizolipia, hivyo, nilikuwa naomba kupatiwa usaidizi wa kupata sauti. Ahsante (Niko na uthibitisho wa kila hatua nilizofanya).