Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
WameshawekaTifuatifua wanaharibu mpira!
Hatuchezi kama wataweka nembo ya Gsm uwanjan.
Sasa shida ipo wapi hapo! Terms za kimkataba lazima ziheshimiwe, sasa nyie mlitaka mle hela za mdhamin bure!Habari wakuu
Kwa hiki kinachoendelea naona dalili za hii match kutochezwa
Tff wameweka nembo ya GSM kwenye benchi la SimbaView attachment 2039303
Simba anashuka tu na hakuna kinacho haribika ila yanga ndo ngumuKesho hatuchezi.. hatuchezi.. hatuchezi (kwasauti ya baby wa yanga)
Ukweli Ni kwamba Ni vigumu kuzishusha daraja Simba na yanga..
Busara itatumika mechi itarudiwa..
Wamesha haribu tangu zamani wewe lini ukaona timu inakuwa na viporo 10+Tifuatifua wanaharibu mpira!
Hatuchezi kama wataweka nembo ya Gsm uwanjan.
Kilaza.wwSimba anashuka tu na hakuna kinacho haribika ila yanga ndo ngumu
Mbumbumbu weweKilaza.ww
huchezi ww au Morrison?Tifuatifua wanaharibu mpira!
Hatuchezi kama wataweka nembo ya Gsm uwanjan.
Hata mkiyachambia nyie tu! ila sio kwa wekundu wa msimbazi Simba.GSM ni maji, usipoyanywa utayaoga tu...
Mind gamesHabari wakuu
Kwa hiki kinachoendelea naona dalili za hii match kutochezwa
Tff wameweka nembo ya GSM kwenye benchi la SimbaView attachment 2039303
Mnashika nafasi ya ngapi kwa ubora barani africa, tuanzie hapo kwanza [emoji23][emoji23]Simba anashuka tu na hakuna kinacho haribika ila yanga ndo ngumu
Hivi ni marufuku Kuweka nembo ya GSM uwanjani?Tifuatifua wanaharibu mpira!
Hatuchezi kama wataweka nembo ya Gsm uwanjan.