Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Ili ni jambo la ajabu ata epl wana wadhamini zaidi ya 5, nike, hublot, panini, budweiser, EA . Lakini ata siku moja vilabu havitumii screen zao za uwanjani kuwatangaza. Mfano old Trafford, etihad huwezi kuta vitu kama hizo. Zingatia kesho simba ni mwenyeji ya mchezo so ana haki
Nafikiri haki ya mdhamini ingebaki kwenye vitu vingine.
Nafikiri haki ya mdhamini ingebaki kwenye vitu vingine.