Naona fahari kusema nikipendacho.

Naona fahari kusema nikipendacho.

Hongera sana Nazjaz! huo ndo uzuri wa kujitambua na na kuwa huru kusema bila kumung'unya maneno.
 
Wanawake wa Tanga bwana!!! Ndiyo maana ukiwaonja ni vigumu kubanduka kutoka kwenye ulimbo wao
 
napenda sana wadada kama hawa... hakuna kurembaaa.....
Bora wewe umekuwa wazi kwa mwenza wako, wengine hawasemi wanataka washikwe/watekenywe wapi, lakini kwa kulalamika hao...


safi sana sana NAZjAZ
 
hahahaaaa nazjaz jiachie mamaa. zama za ukwe...... Na uwazi
 
Back
Top Bottom