Naona Fiston Mayele akiwatoa Al Hilal nyumbani kwao

Naona Fiston Mayele akiwatoa Al Hilal nyumbani kwao

Kila nikijaribu kukata tamaa naona sura ya Fiston Mayele ikitabasamu ndani ya stage ya Al-hilal Sijui ina maana gani
Shida yenu yanga mnajiangalia nyie tu, hamuangalii strength ya mpinzani au labda hamuwajui vizuri Al Hilal.

Wale jamaa wamewazidi vitu vingi kuanzia pesa waliyonayo, uwekezaji mkubwa waliofanya na hata wachezaji wao ni wazuri mara 2 ya kwenu.

Unapomtaja Mayele wenzako wana Mohamed Abdel Rahaman uyo jamaa ni hatari.

Ukimtaja Morrison ambae hajui hata kufunga wenzako wana Makabi Lilepo.

Ukimtaja Kisinda na Moloko ambao wanakimbia pasipo malengo na hawajui kufunga wenzako wana Lamine Diadhiou msenegali aliesajiliwa kwa bilioni 1.

Mabeki wenu hawafikii uwezo wa beki tatu Ibrahim Moro na Vidinho alietoka Petro Atletico iliofika nusu fainali msimu uliopita.

Ogopa sana kucheza na timu yenye malengo ya kufika fainali wakati ninyi malengo yenu ni kufika makundi hapo hata effort mtatofautiana. Walivyocheza Hilal hapa sivyo watakavyocheza kwao. Approach ya ugenini na nyumbani haiwez kufanana ndo maana Al Ahly ya Misri wakija hapa unaweza dhani ni Ihefu.

Kwaiyo msijidanganye nyie Uto, kama hamjui atmosphere ya uwanjani kwao pale nendeni mkamuulize Iddriss Mbombo ameshacheza pale misimu miwili atawaambia.
 
Mayele anachukiwa sana na mashabiki kutoka upande fulani hivi! Na sababu wanayo bila shaka. Mtu gani yule! Kila mechi wakikutana, anawatetemesha tu.
Hivi Mayele Ana ubora gan mkuu?? Kachukua tuzo ngap kwenye lig yetu?? Mi najua ubora wa mchezaji unaangaliwa kwa kuchukua tuzo. Yaan mchezaji hata kwao hawamjui ila unamjua wew tu ! Duu mna Kaz kweli kweli
 
Mm nimewaambia yanga km wataifunga sudan waniite sokwe nimekaa hapo nacheka kichapo cha watu....
 
Hivi Mayele Ana ubora gan mkuu?? Kachukua tuzo ngap kwenye lig yetu?? Mi najua ubora wa mchezaji unaangaliwa kwa kuchukua tuzo. Yaan mchezaji hata kwao hawamjui ila unamjua wew tu ! Duu mna Kaz kweli kweli

Hivi Wewe Nae Ni Shabiki Wa Mpira?! Kazi Ipo!…Wewe Ni Miongoni Mwa Mashabiki Vilaza Wa Simba SC Kuwashuhudia Humu JF [emoji23]
 
Tangu juzi unajifariji tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika huu ni udhalilishaji, Fiston mayele, anaenda kucheza pekee yake? Timu yote ikiwa bechi au haitasafiri kabisa?
Siombei awe majeruhi ila hutokea tu kuumia kama wachezaji wengine. Huu wimbo mayele mayele utakuwa kwa mchezaji yupi pale utopolo?


Yaani Mayele ni maarufu kuliko Yanga fc
 
Back
Top Bottom