Naona Fiston Mayele akiwatoa Al Hilal nyumbani kwao

ukiwaona wapo gym Wana nyanyua mavyuma unaweza ukasema wapo serious
 
Kosa la kwanza la yanga ni kuamin kuwa wamekeza kuliko al hilal, waulize wanae mchezaj wa billion?

Kosa la pili la yanga ni kuamini wana wachezaji wenye ubora kuliko al hilal ukiwaambia wakupe mfano watamtaja aliyecheza new castle huku akiwa hana namba hapo yanga

Kosa la tatu la yanga ni kuamin katika historia kuliko uhalisia ukiwauliza watakwambia simba alitolewa kwa mkapa na jwaneng ila hawakumbuka kama simba nae aliwatoa al ismailia pale pale cairo

Kosa la nne la yanga ambalo ninkubwa zaidi ni kuamini kuwa wana watu wakati kiuhalisia wana mchezaj mmoja tu mwenye uwezo wa kuwapambania kimataifa nae ni morrison bahat mby hilo hawalijui wamejokuta wakimthamin azizi ambae hana rekod yoyote kimataifa, tafadhali msiseme aliwafunga simba msimu uliopita semeni aliishia hatua gan maana nyie mnaabudu watu wanaoifunga simba na kuwaona bora kama mayele ambae hana tuzo ya ufungaj bora tangu azaliwe
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa watu ni vigumu kukuelewa mkuu. Huu muda ulioupoteza kuwaelezea haya ni vema ungeutumia kumfundisha ng'ombe hesabu za milinganyo angekuelewa lakini siyo hao jamaa zako. Zaidi utaambulia matusi

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo siku Makolo hawataamini [emoji16].

Afu tarehe 23 kama Kawaida yetu tunaenda kusuuza run*u.
 
Kila nikijaribu kukata tamaa naona sura ya Fiston Mayele ikitabasamu ndani ya stage ya Al-Hilal, sijui ina maana gani?
Kweli ATAWATOWA😁🤣 Ukisha amka utakuta kawatoa.
 
Mayele anachukiwa sana na mashabiki kutoka upande fulani hivi! Na sababu wanayo bila shaka. Mtu gani yule! Kila mechi wakikutana, anawatetemesha tu.
Mechi ngapi alizowatetemesha Simba?.yani magoli 2 ndo mnapoteza network..au lile goli la mwanza alifunga yeye. Yani mayele hamfikii hata robo Mugalu hahaha
 
Juzi kafunga kasahau mpaka utoto wake wa kutetema mpaka Morrison kamkumbusha hii sio mechi ya kutetema alijua ihefu kumbe ngoma bado ngumu.
 
Mayele anachukiwa sana na mashabiki kutoka upande fulani hivi! Na sababu wanayo bila shaka. Mtu gani yule! Kila mechi wakikutana, anawatetemesha tu.
Macabi lipopo anawasubiria huko hapa taifa viatu vyake vilikuwa vina mbana sana
 
Mayele anachukiwa sana na mashabiki kutoka upande fulani hivi! Na sababu wanayo bila shaka. Mtu gani yule! Kila mechi wakikutana, anawatetemesha tu.
to me mayele ni mchezaji wa kawaida sana. si wa hivyo anavyozungumzwa. anapoteza sana nafasi. kwenye chances 7 anafunga goli moja. juzi tu kakosa chances 3 clear kafunga moja.
 
Yanga mmeumaliza mwendo hizi thread mnazoazisha kila leo hazitawaokoa na kichapo pamoja na aibu hiyo Jumapili
Kwanza ni aibu sana timu kongwe kama Yanga kushindwa kufuzu hatua ya makundi tu toka mwaka 1998 halafu kutwa washabiki wake wanaishi kwa matumaini na kujifariji vitu ambavyo haviwezekani na wala sio size yao.
 
Kwanza Al Hilal walikuja kucheza mchezo wa kujilinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…