Naona hapa mtu kaingizwa mkenge na madictetors na mafisadi, naye akaingia pasipo kutumia akili

Naona hapa mtu kaingizwa mkenge na madictetors na mafisadi, naye akaingia pasipo kutumia akili

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!!
Ipo hivi kwa mauwaji yaliyotokea nchini Tanzania ni wazi hii ni massacre.
Sasa ipo hivi hii mbinu huwa inatumiwa na madikteta wenye uwakika wa kubadilisha katiba na kutawala muda mrefu, kwa lengo la kukwepa mkono wa sheria za kimataifa,Kwasababu wanajua fika pale tu wakiwa hawana mamlaka tena kwenye nchi zao lazima wasakwe wakajibu haya mashataka kwasababu kwa muda huwa hawatakuwa na kinga, nikimaanisha Dola ya kumlinda kama rais ndani ya nchi.

Madiktetors kama wakina Museveni,Putin,Kim hao wanafanya umafia kwasababu wanajua wataendelea kusalia madarakani kwa muda mrefu,na ndio maana wengine wanafikia hatua ya kuwaanda watoto wao ili wawalinde baadaye kutoka na maovu yao.

Sasa imagine unatumia mbinu za hawa jamaa alafu baada ya muda unakuwa huna mamlaka kwasababu katiba haikuruhusu kuendelea kutawala maisha.

Sasa imagene saa hiyo wewe sio rais na rais aliyoingia hakupendezwa na massacre iliyofanyikaa kipindi chako...

Imagine umeanza kutafutwa sasa na umoja wa mataifa na watanganyika hawezi kuacha damu za watoto wao na ndugu zao hivi hivi.Hapa dunia utaanza kuona kuzimu na baada ya hapo utaenda kukutana na kuzimu halisi sasa.Kila kitu ni swala la muda tu.

Heche leo ameonge point kubwa sana amesema,"wewe kuwa na mamlaka haimanishi wewe ni binadamu bora kuliko wengine ila umepewe majukumu tu"

kuna tabia baadhi ya watu wanajiona wamezaliwa na certificate ya kuwatawala wengiene wakati hakuna mtu aliyezaliwa na certificate ila ni bahati mtu ,ambayo mtu yeyote anaweza kupata ,Imagine mtu kama baba revo ameweza kuwa mbunge,na ni mtu ambaye ana akili za kuuzia maembe tu imagene,hakuna usispecial wowote kwenye hizo vyeo.
 
Back
Top Bottom