Naona hazina ya kiuongozi kwa Naibu Waziri, Atupele Mwakibete na Steven Byabato, wajibidishe, wawe wachapakazi na wanyenyekevu

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Katika manaibu Waziri ambao nikiwaangalia naona taifa Lina hazina ya uongozi, ni hao vijana wawili, natamani waendelee kupata mentorship ya kiuongozi, wajibidishe kwa wananchi waliowapa kura, hao ndio base yao, na watanzania kwa ujumla.

Uongozi wa kitaifa uwalee na kuwapa mafunzo ya aina mbalimbali ili wajiimarishe ili wawe na makali ya kulihudumia taifa
 
Kwa Steven Byabato, naunga mkono hoja.

Dogo ana utulivu wa hali ya juu, au wajuvi wa mambo wanaweza kusema 'amepoa'. Hakurupuki hata akiwa anajenga hoja Bungeni.

Ni mnyenyekevu pia, labda aje abadilike huko mbeleni.
 
Kwa Steven Byabato, naunga mkono hoja.

Dogo ana utulivu wa hali ya juu, au wajuvi wa mambo wanaweza kusema 'amepoa'. Haakurupuki hata akiwa anajenga hoja Bungeni.

Ni mnyenyekevu pia, labda aje abadilike huko mbeleni.
Kabisa kabisa, naunga mkono hoja
 
Msimtenge Ridhiwan jamani![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Msimtenge Ridhiwan jamani![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado mgeni, japo anapewa matukio mengi aonekane, ni kijana mzuri tu na yeye, akikaa hapo atakomaa kiuongozi
 
Mmekuja kujipa promo wenyewe humu jf mkijua kuwa mother huwa anapitia humu jf kimya kimya.
 
itakuwa unawaangalia ukiwa bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…