Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Siku moja yaliwekwa hapa JF mahojiano ya Hemed na Zamaradi wa Clouds FM/TV, moja ya maswali nayoyakumbuka ilikuwa ni juu ya mafanikio aliyoyapata kutokana na kazi yake ya movie, Hemed alisema kazi hiyo imeweza kumfanya apate kutembea na wanawake wengi sana tena wakiwemo wake za watu. Na zaidi alisema anatarget kuendelea kufanya vizuri zaidi ili aendelee kujiongezea idadi ya wanawake anaotembea nao.
So kwa malengo kama hayo, unategemea akafanye nini badala ya kuuza sura?
So kwa malengo kama hayo, unategemea akafanye nini badala ya kuuza sura?