Naona hemed ajui kilichompeleka tusker project firm

Siku moja yaliwekwa hapa JF mahojiano ya Hemed na Zamaradi wa Clouds FM/TV, moja ya maswali nayoyakumbuka ilikuwa ni juu ya mafanikio aliyoyapata kutokana na kazi yake ya movie, Hemed alisema kazi hiyo imeweza kumfanya apate kutembea na wanawake wengi sana tena wakiwemo wake za watu. Na zaidi alisema anatarget kuendelea kufanya vizuri zaidi ili aendelee kujiongezea idadi ya wanawake anaotembea nao.

So kwa malengo kama hayo, unategemea akafanye nini badala ya kuuza sura?
 
hemedi ili aache mashauzi take ya kikekike anatakiwa apate mwanaume mmoja wa haja ,
amkaze kisawasaw aache kujishembedua kama demu aliye ktk siku sake!!(hot period)

"SI LAZIMA WOTE WAOLEWE AU KUOA"
 
Mr. Misifasifa, ngoja akitolewa ndio misifa itaisha. Mr. mwanvuli na miwani. wananiudhi wanaovaa miwani ya jua hata kama kuna mvua!
 
[video=youtube_share;ojsxPLh83qo]http://youtu.be/ojsxPLh83qo[/video]
 
[video=youtube_share;Y5NX5uf2aoc]http://youtu.be/Y5NX5uf2aoc[/video]
 
[video=youtube_share;2Sv3QjA0SBA]http://youtu.be/2Sv3QjA0SBA[/video]
 
ukiwa na demu mbabaikaji huwezi kumkubali dogo!!!!dogo ana talent japo kawakuta watu katika game lakini nyota inashine utasema yupo kitambo!
 

Hamna kitu pale....ni kilaza mwingine yule,mwenzake Msechu anajitahidi sana.....Mimi nawashauri watanzania ni bora tukampigia kura Msechu,akishinda Hemed tutaonekana watanzania hatuko serious kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…