Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Turn off hiyo flight mode.
Umeweka plane mode toa hiyo,
Angeweka offline hata hiyo picha isingeload. Ingemuambia hana network.Mbona uko offline mode?
Zantel nao Ni matandao?Natumia Zantel,
Jambo gani mkuu?Wanasema mjini kuna "Jambo". Nenda kwenye Twitter ya kigogo utalijua hilo "Jambo".
Ni timu ya mpiraZantel nao Ni matandao?
Jambo gani mkuu?
Mi naona watu wa tweeter tuMsimbeze jamaa
Ila kuna watu wengi naona tume experience hii ishu hata twitter naona watu wameiongelea kama wengine hawajaipata Well And GoodView attachment 1548217
Naona inategemea na MtandaoMi naona watu wa tweeter tu
Ila mtaani,telegram,whatsapp
Sijasikia hata mmoja analalamika jambo hilo
Hapo ndio ufahamu unafki wa watu wa tweetet