Uchaguzi 2020 Naona kama chama changu kimekata tamaa Dar es salaam

Ni kama vile uliingia kichwani mwangu ukachomoa kilichomo ndani yake.

Naongezea vitu viwili tu.

Kawe ni kama vile mfa maji anapambana kivyake.

Dar es Salaam kwa vitu walivyofanya upande wa pil wa kijani viongozi wa chama cha maLiberali wanaona aibu kuzusha maana vitu vipo laivu. Kinachowaponza ni kukosa sera na mtizamo wa pamoja wanabaki kuzungumzia mapungufu ya upande wa kijani tofauti na Daktari aliyekipaisha chama chenu na kukifanya kikubalike.

Chama kikikosa sera au kuhubiri sera kikabaki kubivizia mapungufu ya wengine ili kuhubiri hakina maisha marefu
 
Acha unafiki,chama chetu kipi mwenyekiti kakipandisha chart?
 
Siku zote ukweli unauma.
Unatumia sana nguvu nyingi kuaminisha watu wewe ni kamanda which is wrong. Sisi huku ukonga hatupumziki kuanzia chanika mpaka kivule tunakimbiza na Asia nashangaa hoja zako ambazo hazina dimension unazipigia chapuo hapa.
 
Hapo vipi... Ndiyo unayotaka kuona wenzenu wanafanya pia? Shame[emoji23]
 
Hapana unamwonea huyu jamaa kusema ni ccm, ila anatoa angalizo. Kwenye suala mabango ni kweli, hali ya uchumi kwa chama siyo nzuri, tuendelee kuhamasisha kutoa michango ili TAL aendelee kutema nondo, hadi Lumumba wapoteane.
TRA wanatoza kodi mabango ya kampeni za wapinzani ya ccm hawatozi kodi.

ccm wanachana mabango ya vyama vingine jana nimepita sinza mabango yote ya wagombea wa CHADEMA yamechanwa vichwa.
 
Jambo letu lazima litimie October 28.. Hatuhitaji hayo mabango mnayotuletea TRA watudai kodi kwani kipindi hichi cha uchaguzi CHADEMA inafanya biashara gani?
 
Naskia siku hizi kuna style mpya. Kua ukiona mgombea kwenye bango wa ubunge au udiwan maana yake huyo usimpe kura yako. Yaani unaoneshwa hiyo sura na jina ikifika tarehe 28 October usiichague
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…