FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Rudi lumumba huko na kaID kako ka Sept 13. Unatumia mwamvuli kujificha ila muandiko wako unakukataaUsiseme hayo watakutukana. Maana hawapendi ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi lumumba huko na kaID kako ka Sept 13. Unatumia mwamvuli kujificha ila muandiko wako unakukataaUsiseme hayo watakutukana. Maana hawapendi ukweli.
Ni kama vile uliingia kichwani mwangu ukachomoa kilichomo ndani yake.Ninaona kama kwa Dar es salaam chama changu hakina mpango wa kuchukua majimbo mengine zaidi ya Kawe.
Majimbo kama Temeke,Mbagala,Kigamboni,Ubungo na Segerea ni kama wameyatoa kafara kwa Ccm,hakuna harakati za kupambania haya majimbo. Labda kawe ndio tunajitutumua.
Kwa ngazi ya urais nazunguka mji mzima naona mabango ya Ccm na mgombea wao,sijui chama chetu hakina hata pesa ya mabango na bendera.
Hali hii inakatisha tamaa,maana jamaa wameshaanza kujinasibu watakuwa na 89.5% kama uchaguzi utafanyika jumatano ijayo!
Siku zote ukweli unauma.Rudi lumumba huko na kaID kako ka Sept 13. Unatumia mwamvuli kujificha ila muandiko wako unakukataa
Acha unafiki,chama chetu kipi mwenyekiti kakipandisha chart?Ni kama vile uliingia kichwani mwangu ukachomoa kilichomo ndani yake.
Naongezea vitu viwili tu.
Kawe ni kama vile mfa maji anapambana kivyake.
Dar es Salaam kwa vitu walivyofanya upande wa pil wa kijani viongozi wa chama cha maLiberali wanaona aibu kuzusha maana vitu vipo laivu. Kinachowaponza ni kukosa sera na mtizamo wa pamoja wanabaki kuzungumzia mapungufu ya upande wa kijani tofauti na Daktari aliyekipaisha chama chenu na kukifanya kikubalike.
Chama kikikosa sera au kuhubiri sera kikabaki kubivizia mapungufu ya wengine ili kuhubiri hakina maisha marefu
Unatumia sana nguvu nyingi kuaminisha watu wewe ni kamanda which is wrong. Sisi huku ukonga hatupumziki kuanzia chanika mpaka kivule tunakimbiza na Asia nashangaa hoja zako ambazo hazina dimension unazipigia chapuo hapa.Siku zote ukweli unauma.
Hapo vipi... Ndiyo unayotaka kuona wenzenu wanafanya pia? Shame[emoji23]Ni kama vile uliingia kichwani mwangu ukachomoa kilichomo ndani yake.
Naongezea vitu viwili tu.
Kawe ni kama vile mfa maji anapambana kivyake.
Dar es Salaam kwa vitu walivyofanya upande wa pil wa kijani viongozi wa chama cha maLiberali wanaona aibu kuzusha maana vitu vipo laivu. Kinachowaponza ni kukosa sera na mtizamo wa pamoja wanabaki kuzungumzia mapungufu ya upande wa kijani tofauti na Daktari aliyekipaisha chama chenu na kukifanya kikubalike.
Chama kikikosa sera au kuhubiri sera kikabaki kubivizia mapungufu ya wengine ili kuhubiri hakina maisha marefu
TRA wanatoza kodi mabango ya kampeni za wapinzani ya ccm hawatozi kodi.Hapana unamwonea huyu jamaa kusema ni ccm, ila anatoa angalizo. Kwenye suala mabango ni kweli, hali ya uchumi kwa chama siyo nzuri, tuendelee kuhamasisha kutoa michango ili TAL aendelee kutema nondo, hadi Lumumba wapoteane.
Naskia siku hizi kuna style mpya. Kua ukiona mgombea kwenye bango wa ubunge au udiwan maana yake huyo usimpe kura yako. Yaani unaoneshwa hiyo sura na jina ikifika tarehe 28 October usiichagueNinaona kama kwa Dar es salaam chama changu hakina mpango wa kuchukua majimbo mengine zaidi ya Kawe.
Majimbo kama Temeke, Mbagala, Kigamboni, Ubungo na Segerea ni kama wameyatoa kafara kwa CCM, hakuna harakati za kupambania haya majimbo. Labda Kawe ndio tunajitutumua.
Kwa ngazi ya urais nazunguka mji mzima naona mabango ya CCM na mgombea wao, sijui chama chetu hakina hata pesa ya mabango na bendera.
Hali hii inakatisha tamaa maana jamaa wameshaanza kujinasibu watakuwa na 89.5% kama uchaguzi utafanyika Jumatano ijayo!