Uchaguzi 2020 Naona kama chama changu kimekata tamaa Dar es salaam

Uchaguzi 2020 Naona kama chama changu kimekata tamaa Dar es salaam

Ninaona kama kwa Dar es salaam chama changu hakina mpango wa kuchukua majimbo mengine zaidi ya Kawe.

Majimbo kama Temeke,Mbagala,Kigamboni,Ubungo na Segerea ni kama wameyatoa kafara kwa Ccm,hakuna harakati za kupambania haya majimbo. Labda kawe ndio tunajitutumua.

Kwa ngazi ya urais nazunguka mji mzima naona mabango ya Ccm na mgombea wao,sijui chama chetu hakina hata pesa ya mabango na bendera.

Hali hii inakatisha tamaa,maana jamaa wameshaanza kujinasibu watakuwa na 89.5% kama uchaguzi utafanyika jumatano ijayo!
Kama ni suala la mabango wala halina shida, tena wala sishauri CHADEMA wapoteze hata senti yao kwenye mabango, hayasaidii kitu kabisa! Wawekeze kwenye mgombea urais halafu kwa mbunge. Unafikiri mabango yaliyosambaa nchi nzima kwenye kila barabara yanamsaidia Magufuli kitu? Hakuna hata wakibandika mabango kwenye miti yote ni bure kama hutoi sera za maana na hukubaliki na watu.
 
Ukishaona neno "chama changu" kwenye heading jua tayari huyo ni mamluki kutoka chama mfu-CCM
Chui Aliyevaa Kaniki Asionekane
Kumekucha Sasa Slow Slow Anaongea Na Wana Habari
Joto Limepanda
 
Ukishaona neno "chama changu" kwenye heading jua tayari huyo ni mamluki kutoka chama mfu-CCM
Ccm wanataabika kweli kweli.
Huo watu wanamfuata Yohana mbatizaji (Lissu) pasipo matangazo ya tv, redio wala nini?
Watu hawashtuki?
 
Upo sahihi. Performance ya wabunge wa Upinzani Dar hasa Kubenea wa Ubungo ilikuwa mbovu sana na wananchi sasa wapo njia panda.

Inasemekana kubandika bango kubwa kama la Magufuli ni shilingi laki 5. Sasa wapinzani labda wamepiga hesabu wakaona bora hiyo pesa waiwekeze kwingine....afterall, utabandika mangapi na wapi ili kuconvince watu?

CHADEMA pia campaigns zimelenga miji mikubwa (ukata!?). Ilipaswa kutarget vijijini huko maana wa mjini atleast wanaingia JF na Twitter huko
 
Wewe subiri una haraka gani?
Ninaona kama kwa Dar es salaam chama changu hakina mpango wa kuchukua majimbo mengine zaidi ya Kawe.

Majimbo kama Temeke,Mbagala,Kigamboni,Ubungo na Segerea ni kama wameyatoa kafara kwa Ccm,hakuna harakati za kupambania haya majimbo. Labda kawe ndio tunajitutumua.

Kwa ngazi ya urais nazunguka mji mzima naona mabango ya Ccm na mgombea wao,sijui chama chetu hakina hata pesa ya mabango na bendera.

Hali hii inakatisha tamaa,maana jamaa wameshaanza kujinasibu watakuwa na 89.5% kama uchaguzi utafanyika jumatano ijayo!
 
Ccm wanataabika kweli kweli.
Huo watu wanamfuata Yohana mbatizaji (Lissu) pasipo matangazo ya tv, redio wala nini?
Watu hawashtuki?
Lissu Dar aliangukia pua akakimbia mikoani kwa hiyo mmesusa hamtaki tena majjmbo ya Dar bali ni Kawe pekeyake?
 
Mkuu kuanzia ID unayotumia hadi avatar yako inaonyesha kabisa ni mamluki wa chama mfu-CCM uliekosa uzoefu!Mimi sihitaji yote hayo ili nionekane mwana chadema
Mwenzako anatoa hoja lakini wewe unatoa màpovu ya OMO.
 
Mkuu kuanzia ID unayotumia hadi avatar yako inaonyesha kabisa ni mamluki wa chama mfu-CCM uliekosa uzoefu!Mimi sihitaji yote hayo ili nionekane mwana chadema
Isitoshe kajiunga tu juzi... Mamluki kabisa huyu
 
Back
Top Bottom