Naona kama Chris brown anajidhalilisha kwa kupiga collabo na undergrounds

Naona kama Chris brown anajidhalilisha kwa kupiga collabo na undergrounds

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
hello

i have been a fan of chris breezy lkn nowdays naona jamaa cjui crack inamchanganya yani chris brown kwa ninavyom-respect sio mtu wa kupiga kolabo na fala kama kodak black kwenye ile nyimbo yake ya pills and automobils aliyotoa juzi juzi

Mara anashirikishwa na zoey dollaz ambae anazidiwa hata na hamorapa kwa umaarufu, nahic madawa na kuimba na underground ndo sababu inamfanya Chris brown asi-hit kipindi hiki kama ilivyokuwa zama zile alivyotoa nyimbo za with you kiss kiss, turn up, hadi loyal, madawa ya unga yanafanya nyota ya jamaa ishuke sana

I hope maybe baadae jamaa ata-change na kurudi kwenye hit
 
Underground yoyte aliye naa potential sio vibaya kufanya nae kollabo.. ni kama usher raymond alivofany kollabo na justin bieber enzi izo
 
Kuna ngoma wakina ngwea na mabovu walifanya na diamond inaitwa jisachi sijui nao walijizalilisha kipind hata hajulikani mond lakini ngwea alikuwa sio msanii wa mchezo mchezo hao hawatakuwa ma underground milele sioni kama kuna kujizalilisha hapo yafaa kuwainua wasanii wadogo.
 
Labda swala la madawa naweza kukuunga mkono lakini siyo hicho unachokiita kushirikisha ma underground
 
Aiss we inaonekana hata mtaani kwako unawabagua wenzio kwa kipato
 
hapana lkn huwez ona m2 kama jay z au rihanna au beyonce, au bieber, anafanya kollabo na die hards/wachimba chumvi fatmanuria

Wasanii wengi waliofanikiwa hawajatoka familia za kitajir hata huyo jay z unaemtaja njia alizopitia anajua Mungu tu aliemuokoa had anaendelea kuivuta hii hewa hadi sasa.
 
Kodak black sio msanii wa underground unakosea ni msanii ambaye anafanya vizuro kwenye soko la muziki aina ya hip hop marekani, lakini Chris brown bado heshima yake iko pale pale wala hajajidhalilisha.

Kwa kweli namkubali rapa wa marekani Quavo huncho.
 
we kijana huujui mziki vizuri acha kumuita kodak black underground jamaa ana ngoma kibao za muda mrefu ila hakuwa kwenye mainstream tu.
 
Mimi naona kumpigia kura ccm yeyote Ndio kujidhalilisha Na Ndio Dhambi pekee isiyosameheka
 
Kuna ngoma wakina ngwea na mabovu walifanya na diamond inaitwa jisachi sijui nao walijizalilisha kipind hata hajulikani mond lakini ngwea alikuwa sio msanii wa mchezo mchezo hao hawatakuwa ma underground milele sioni kama kuna kujizalilisha hapo yafaa kuwainua wasanii wadogo.

Hiyo ngoma ya jisachi hapana chezea kabisa,wale marehemu sio wa nchi hii,dangote nae daaaah,kwenye rap ni nyoko pia aisee,siku moja atoe moja tu na aifanyie video karee sana anaweza kufanya wonders
 
hahahaha hebu mcheki kodak black vizuri halafu uje kuandika hivo vitu vyako....tatizo bongo tumekaririshwa baadhi ya wasanii na media mnazopenda kuzisikiliza.....chukua simu(device yako)wasearch wanyamwezi halafu utamjua uyo Kodak black ni nani... ?...n then kuhusu chipukizi breezy ana-respect sana new talent haswahaswa wenye vipaji vya kweli na anawatoa haswa mfano kid ink(yan uyu karibia album yote ya my own lane breezy alihusika na baadhi ya mixtape)chipmunk,juelz santana,kelvin McCall,Tyga kabla hajawa tyga haswa,Big Sean wengi sana...na kila akiweka vitu vyake lazma ngoma itusue!
 
Back
Top Bottom