Naona kama DSTV TANZANIA MMEWAZOEA WATEJA WENU................

Naona kama DSTV TANZANIA MMEWAZOEA WATEJA WENU................

Chumvi yao

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
2,580
Reaction score
5,563
Sianzi na salam sababu ya jazba ............hivi hawa mbwa wanajikuta nani?? Yaani mmelipwa pesa na huduma mmekata.........mnadhania pesa ni ya mababa zenu??...........hii kampuni sio international bora hata mngeweka ofisi yenu tandale ................huduma kwa wateja namba haifanyi kazi.......kazi kulazimisha panda tukupandishe ............alikwambia nani anataka kupanda .......kwanza kwa maudhui gani mnayotuonesha hayo ya fantana kamnyonya denda diamond au familia ya kadarshian?? Nasema hivi HII NDIO KAMPUNI TAKATAKA KABISA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA ........YENYE OFISI KWENYE CONTENA KAMA KIBANDA CHA JUICE.........hawa ofisi yao ilitakiwa kuwa MBAGALA MIPEKO NA SIO PALE WALIPO SASA
 
SA mwezi huu wameongeza bei ya vifurushi vyao na Tanzania wataongeza maana SA wateja wengi wamewakimbia..
 
Hii kampuni ni kituko cha mwaka ............ujuaji na mixa broken wanajiona watu katika watu.............kazi ujinga ujinga tu na wanawake wao wenye makomwe kama mkate uliozidiwa na amila
 
Tulia ulete hoja yako ieleweke mkuu. Kampuni nyingi zina changamoto, DSTV wana changamoto gani this time?
 
Huku DSTV huku Statimes kwa wachina walima mpunga! This is my mother's land🤗🤗🤗
star times 2017-2018 wali kuwa moto Sana, kuanzia series za kichina pale star kungfu.

hadi kiphilipino pale star times Swahili, usi sahau movies za kihindi pale Bollywood movies, zee cinema, star gold.
 
Back
Top Bottom