Jamaa Fulani Mjuaji
Senior Member
- Jul 25, 2020
- 169
- 332
Umeongea vema sana. Njoo hapa nilipo kuna bucket yako na portion mbili za nyama choma ule ndugu.Hakikisha unatangulkiza pesa kwenye kila kikwazo.
Hapa ndipo utaona watumishi wa umma sio wavivu,
Kupitia pesa zako ndio wanaweka mafuta kwenye magari yao kila siku,
ndio hao hao wanashinda baar wakinywa kupitia pesa zako.
Huku wakimtukuza mama yao, kwa sasabu ni dhaifu.
Mtu pekee aliye anza kupambana na mfumo dhalimu ni Magufuli na yeye hayupo!
Bro pambana na hali yako