OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
"Mh. Rais Samia kama ambavyo nawasikia Viongozi wa CCM kwamba toka umeingia madarakani wana kauli yao wanasema umeupiga mwingi, kazi nzuri unayofanya Watanzania wanaiona tuna matumaini makubwa na tutaendelea kuhakikisha kwamba malengo yako yanafika hadi vijijini"
"Umeanza vizuri unaendelea vizuri na utaupita vizuri zaidi mwaka 2025 na utamaliza vizuri pia mwaka 2030" ——— Waziri Mkuu Majaliwa mbele ya Rais Samia kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Covid 19, leo Dodoma.
Hizi ni kampeni za upande mmoja.