LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Jamaa alianza na Basi 2 za Scania kimsihara watu wakamchukulia poa, ila jamaa nachoona ni mjanja sana, alisalijili madereva wazoefu kutoka allys akawaongezea pesa nzuri, na kilichompa jina ni kuumwaga moto naskia abiria wa kanda ya ziwa hawapendagi kabisa gari za kulala njiani, akaongeza scania zingine 2 zikawa nne
Now naona kaongeza chuma cha 5 kutoka Scania na kuna irizar 2 kutoka South Africa jamaa naona hatanii
Kila la heri kwa huyu mwekezaji
Now naona kaongeza chuma cha 5 kutoka Scania na kuna irizar 2 kutoka South Africa jamaa naona hatanii
Kila la heri kwa huyu mwekezaji