Naona Katarama Luxury hana Masihara kanda ya Ziwa

Naona Katarama Luxury hana Masihara kanda ya Ziwa

kuna dereva anaitwa Machage, mwamba sana huyu jamaa
traffic walitaka kurudisha gari kutoka ubena hadi chalinze kwamba akatoe maelezo, jamaa kawambia mimi sirudi nyuma, wacha niende mwanza nisicheleweshe abiria nikirudi nitakuja kutoa hayo maelezo
Hao traffic chenga unarudije nyuma sasa hali hata mbele pana kituo
 
Ukisikia bus ni SCANIA ni habari nyingine! Yu dong sijui Zong dong hayo ni cha mtoto!
Kwa mbio na sio kwa comfortable and luxuries.
Scania level ya mchina bila billion moja ujaiweka barabarani ambapo Africa hailipi
 
Kwa mbio na sio kwa comfortable and luxuries.
Scania level ya mchina bila billion moja ujaiweka barabarani ambapo Africa hailipi
Comfortable kwa michina hakuna kabisa.. nmepanda sana michina ila kwa katarama ni habari nyingine kabisa, chombo inatulia barabarani na minenso ya kutosha
 
Jamaa alianza na Basi 2 za Scania kimsihara watu wakamchukulia poa, ila jamaa nachoona ni mjanja sana, alisalijili madereva wazoefu kutoka allys akawaongezea pesa nzuri, na kilichompa jina ni kuumwaga moto naskia abiria wa kanda ya ziwa hawapendagi kabisa gari za kulala njiani, akaongeza scania zingine 2 zikawa nne

Now naona kaongeza chuma cha 5 kutoka Scania na kuna irizar 2 kutoka South Africa jamaa naona hatanii

Kila la heri kwa huyu mwekezaji

View attachment 3032396
ALLYS STAR , SAMA wapo vizuri Sanaa pia
 
  • Thanks
Reactions: K11
Amuulize SAULI alifeli wapi hadi scania wakaja kuchukua mabasi yao, ili aisije kupitia ya SAULI
Kuna business mindset na business plan. Sauli aliendekeza mashindano ya kipuuzi na New Force wakati ana mabasi machache. Nenda geuka si kitoto, mabasi alikuwa hapumzishi! Yalipoanza kuchoka yalichoka kwa wingi
 
Back
Top Bottom