Naona Katarama Luxury hana Masihara kanda ya Ziwa

Naona Katarama Luxury hana Masihara kanda ya Ziwa

Enzi zetu barabara zilikuwa mbovu magari yenyewe mangumu kumeza leo hii vijana barabara safi gari mayai na ziko safe
Siku hizi hawaingii gereji (msoto) hata gereji hawazijui, sehemu inapokaa spea tyres hawajui, yaani hata wepa ikiwaka na maji hamna hajui wapi maji yanawekwa.

Siku hizi chuma zinakuja, unapigiwa simu kesho njoo uende Mwanza na hili basi jipya šŸ˜€!.
 
Siku hizi hawaanzii gereji (msoto) hata gereji hawazijui, sehemu inapokaa spea tyres hawajui, yaani hata wepa ikiwaja na maji hamna hajui wapi maji yanawekwa.

Siku hizi chuma zinakuja, unapigiwa simu kesho njoo uende Mwanza na hili basi jipya šŸ˜€!.
Wana raha sana
 
Jamaa alianza na Basi 2 za Scania kimsihara watu wakamchukulia poa, ila jamaa nachoona ni mjanja sana, alisalijili madereva wazoefu kutoka allys akawaongezea pesa nzuri, na kilichompa jina ni kuumwaga moto naskia abiria wa kanda ya ziwa hawapendagi kabisa gari za kulala njiani, akaongeza scania zingine 2 zikawa nne

Now naona kaongeza chuma cha 5 kutoka Scania na kuna irizar 2 kutoka South Africa jamaa naona hatanii

Kila la heri kwa huyu mwekezaji

View attachment 3032396
katarama ana basi za polo 6 EBR ziko 2 kisha ECR kisha akavuta EDRbaada ya hapo akavua DXE Iliyokuwa sauli slow poison kisha ndio now anevuta EHC hii EHC Imeundwa AAVA kenya sio china, piakuna irizar Mbili jumla zitakuwa 8 polo moja mil 800+ huyo ndio katarama
 
Kilimanjaro ana scania zipi mkubwa?
Marcopolo zile Andare. Sidhani kama ana hizi model mpya za body Gemilang kama za Super Feo ama Katarama.
 

Attachments

  • KLMJ.jpg
    KLMJ.jpg
    41.6 KB · Views: 5
Back
Top Bottom