Naona Katarama Luxury hana Masihara kanda ya Ziwa

Naona Katarama Luxury hana Masihara kanda ya Ziwa

BIASHARA ZA TABIA FULANI MARA NYINGI ZIKIONEKANA ZINA KULIPA BASI VIONGOZI WAKUBWA WANATAKA KUWEKA PESA KWAKO WANUFAIKE.
NIMESHASAU KISA KIMOJA KUNA MAGARI YALI KUFA YALIKUWA YANA KWENDA SIJUI MOSHI,ARUSHA AU KILIMANJARO
Happy national pia, mkuu fulani kaweka mzigo ndo zimerudi maana mwenye hio kampuni alishajikatia tamaa kabisa na ndugu yake skyline.
 
Mshahara wa dereva wa Basi ni kiasi gani?
Jamaa alianza na Basi 2 za Scania kimsihara watu wakamchukulia poa, ila jamaa nachoona ni mjanja sana, alisalijili madereva wazoefu kutoka allys akawaongezea pesa nzuri, na kilichompa jina ni kuumwaga moto naskia abiria wa kanda ya ziwa hawapendagi kabisa gari za kulala njiani, akaongeza scania zingine 2 zikawa nne

Now naona kaongeza chuma cha 5 kutoka Scania na kuna irizar 2 kutoka South Africa jamaa naona hatanii

Kila la heri kwa huyu mwekezaji

View attachment 3032396
 
Back
Top Bottom