Naona Katarama Luxury hana Masihara kanda ya Ziwa

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Jamaa alianza na Basi 2 za Scania kimsihara watu wakamchukulia poa, ila jamaa nachoona ni mjanja sana, alisalijili madereva wazoefu kutoka allys akawaongezea pesa nzuri, na kilichompa jina ni kuumwaga moto naskia abiria wa kanda ya ziwa hawapendagi kabisa gari za kulala njiani, akaongeza scania zingine 2 zikawa nne

Now naona kaongeza chuma cha 5 kutoka Scania na kuna irizar 2 kutoka South Africa jamaa naona hatanii

Kila la heri kwa huyu mwekezaji

 
kuna dereva anaitwa Machage, mwamba sana huyu jamaa
traffic walitaka kurudisha gari kutoka ubena hadi chalinze kwamba akatoe maelezo, jamaa kawambia mimi sirudi nyuma, wacha niende mwanza nisicheleweshe abiria nikirudi nitakuja kutoa hayo maelezo
 
allys kaua sana basi zake za yutong kisa kushindana na hizi scania
 
Achana naye. Huyu ni mtu wa Nshamba Muleba, watu wa Nshamba hawajui kitu kingine isipokuwa biashara tu. Wapo akina Kyeju nk.
 
Uzuri wa basi ni kuwa na Wi-Fi, choo, viti vinavyotanuka, chaja ya simu, tv(siyo video) na vinywaji(hata bia ikimpendeza mwenye kampuni).
 
Kila mfanyabiashara ana model yake yake ya biashara. Mbona Kilimanjaro na Nacharo bado wana Scania kibao tu na zingine ni mpya kabisa?

Kilimanjaro mjanja sana huwa hanunui scania mpya. Ndio maana hata siku moja huwezi kumuona kwenye official page ya scania wakimuita mteja wao. Ama kuona ana bus scania latest series.

Dar express alinunua mpya sana akaona hasara akahamia kwa wachina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…