Naona kuna Mkakati wa kum-underestimate Zitto Kabwe na ACT Wazalendo. Ni kama wamemdharau

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni CCM na CHADEMA tu? ACT Wazalendo ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?

Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?

Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?
 
Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?

ACT ni under 🐕
 
Huyu kajidharaulisha mwenyewe kwa usaliti,undumilakuwili na unafiki.

Muda wote ACT ilijipambanua kama mpinzani wa CHADEMA badala ya CCM hadi ikasahau hata kunadi sera zake, hili limechangia sana kifo cha hiki Chama.

Usipojiheshimu au kujitambua wewe ni nani hakuna atakayekutambua ndicho kinachowapata ACT.

Namuonea huruma sana Jussa kapanda Boti ya Vibwengo bila kujua.
 
Siyo kumunderestimate Mkuu. Wanajaribu kumrudisha anapostahili baada ya nyie kumoverate.
 
Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?

Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?

Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?

He he
 
Voting block ya ACT ni Pemba na Maeneo machache ya bara so Wana mtaji wa kura laki 2 pekee. Ilihali Chadema Wana wanachama zaidi ya million 4 na Wana mtaji zaidi ya kura million 3 kabla uchaguzi haujaanza.

Sasa kwa gap hiyo unadhani CCM inaiona ACT kama contender hasa huku bara?

Hapa Cha muhimu ni ACT na Chadema kuunda coalition Ili kura zisogawanyike. Mfano 2015 upinzani tulikua na majimbo 5 kigoma ila ACT ikagawanya kura za upinzani mwishowe tukaambulia majimbo 2 pekee. Sasa hii Sio afya kama tunataka upinzani imara, 2025 iwe coalition Ili huko kusini tusipoteze majimbo kwa CCM na hata kigoma na Katavi tusigawanye kura.
 
Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?

Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?

Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?

Zitto alikosea kusema kwamba hawaitaji katiba mpya kwa Sasa na pia kushiriki chaguzi ndogo na kuambulia aibu.
 
Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?

Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?

Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?

Chama Cha Upinzani ni kimoja tu CHADEMA Basi, wengine hata mikutano wameshindwa kufanya wamekimbia.
 
Huyu kajidharaulisha mwenyewe kwa usaliti,undumilakuwili na unafiki.

Muda wote ACT ilijipambanua kama mpinzani wa CHADEMA badala ya CCM hadi ikasahau hata kunadi sera zake, hili limechangia sana kifo cha hiki Chama.

Usipojiheshimu au kujitambua wewe ni nani hakuna atakayekutambua ndicho kinachowapata ACT.

Namuonea huruma sana Jussa kapanda Boti ya Vibwengo bila kujua.

Umeongea ukweli, wakati ACT inaasisiwa mwaka 2014 Kuna jamaa akaniambia kuwa ACT inaenda kuifuta CHADEMA kwenye siasa, leo jamaa anaona hata aibu maana ACT 2015 ilipata kura elfu tisini nchi nzima za urais.
 
Voting block ya ACT ni Pemba na Maeneo machache ya bara so Wana mtaji wa kura laki 2 pekee. Ilihali Chadema Wana wanachama zaidi ya million 4 na Wana mtaji zaidi ya kura million 3 kabla uchaguzi haujaanza.

Sasa kwa gap hiyo unadhani CCM inaiona ACT kama contender hasa huku bara?

Hapa Cha muhimu ni ACT na Chadema kuunda coalition Ili kura zisogawanyike. Mfano 2015 upinzani tulikua na majimbo 5 ila ACT ikagawanya kura za upinzani mwishowe tukaambulia majimbo 2 pekee. Sasa hii Sio afya kama tunataka upinzani imara, 2025 iwe coalition Ili huko kusini tusipoteze majimbo kwa CCM na hata kigoma na Katavi tusigawanye kura.

ACT wasipokaa makini hata huko pemba watu watawahama. Maana hata kwa Sasa ACT kule Zanzibar haina mvuto Kama kipindi Maalim Seif yupo.
 
Back
Top Bottom