Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
ACT ni under 🐕Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?
Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?
Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?
Pia ni mdini na mshirikinaZitto anayo taaluma ya usaliti.
Mkuu ya ngazi gani: ya cheti ama shahada?Zitto anayo taaluma ya usaliti.
Huyu kajidharaulisha mwenyewe kwa usaliti,undumilakuwili na unafiki.Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?
Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?
Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?
Siyo kumunderestimate Mkuu. Wanajaribu kumrudisha anapostahili baada ya nyie kumoverate.Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?
Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?
Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?
Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?

Voting block ya ACT ni Pemba na Maeneo machache ya bara so Wana mtaji wa kura laki 2 pekee. Ilihali Chadema Wana wanachama zaidi ya million 4 na Wana mtaji zaidi ya kura million 3 kabla uchaguzi haujaanza.Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?
Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?
Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?
Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?
Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?
Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?
Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?
Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?
Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?
Huyu kajidharaulisha mwenyewe kwa usaliti,undumilakuwili na unafiki.
Muda wote ACT ilijipambanua kama mpinzani wa CHADEMA badala ya CCM hadi ikasahau hata kunadi sera zake, hili limechangia sana kifo cha hiki Chama.
Usipojiheshimu au kujitambua wewe ni nani hakuna atakayekutambua ndicho kinachowapata ACT.
Namuonea huruma sana Jussa kapanda Boti ya Vibwengo bila kujua.
Voting block ya ACT ni Pemba na Maeneo machache ya bara so Wana mtaji wa kura laki 2 pekee. Ilihali Chadema Wana wanachama zaidi ya million 4 na Wana mtaji zaidi ya kura million 3 kabla uchaguzi haujaanza.
Sasa kwa gap hiyo unadhani CCM inaiona ACT kama contender hasa huku bara?
Hapa Cha muhimu ni ACT na Chadema kuunda coalition Ili kura zisogawanyike. Mfano 2015 upinzani tulikua na majimbo 5 ila ACT ikagawanya kura za upinzani mwishowe tukaambulia majimbo 2 pekee. Sasa hii Sio afya kama tunataka upinzani imara, 2025 iwe coalition Ili huko kusini tusipoteze majimbo kwa CCM na hata kigoma na Katavi tusigawanye kura.
Uhafidhina!!Mkuu ya ngazi gani: ya cheti ama shahada?